Yasin21
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 667
- 402
inaelekea inakuuma sana niyo kutua simba pole sanaHuyo Niyonzima ilikuwa ajiunge nao South Africa. Sasa story imebadilika. Atajiunga nao huko Kigali. Tusubiri episode nyingine. Utakujasikia atajiunga nao wakirudi Dar. Ikifika hapo mjue ndiyo imetoka hiyo!
nasikia huko moro mnapiga michango ya maji ya kunywa yana ukweli haya?