SIMBA 1 - 1 BIDVEST

SIMBA 1 - 1 BIDVEST

Huyo Niyonzima ilikuwa ajiunge nao South Africa. Sasa story imebadilika. Atajiunga nao huko Kigali. Tusubiri episode nyingine. Utakujasikia atajiunga nao wakirudi Dar. Ikifika hapo mjue ndiyo imetoka hiyo!
inaelekea inakuuma sana niyo kutua simba pole sana
nasikia huko moro mnapiga michango ya maji ya kunywa yana ukweli haya?
 
Wanajiandaa kucheza mashindano gani?
Si nimesikia wanarudi zao chandimu hakuna kupanda ndege tena?
 
Huyo Niyonzima ilikuwa ajiunge nao South Africa. Sasa story imebadilika. Atajiunga nao huko Kigali. Tusubiri episode nyingine. Utakujasikia atajiunga nao wakirudi Dar. Ikifika hapo mjue ndiyo imetoka hiyo!
Nionzima bado yupo yanga, hata gazeti linalo ipamba yanga, limeongolea hayo leo, hongereni yanga. maana huyu jamaa kamwe hatawatoka midomo wapenzi wa yanga.
 
Hawa simba nao!! 7-0 Okwi ndani Bocco ndani, 1-0 Okwi ndani Bocco ndani, 1-1 kama kawaida mnasahau kuwa mnamtia hasira Bi. Indu kwa kusajili magarasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bidvest walichezesha kikosi cha watoto under 17....la sivyo Simba wangepigwa kipigo cha mbwa mwizi kama kile cha 7 bila
64ec05087221a40c208c044564622fd3.jpg
 
Back
Top Bottom