Mnyama anaunguruma Zanzibar, Dabi ipo pale pale hakuna kukimbia
Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 inatarajiwa kuzikutanisha Yanga dhidi ya Simba, hiyo ni baada ya Simba kuitafuna Mlandege Magoli 3 -0 kwenye Nusu Fainali iliyopigwa Uwanja wa Amaan, Aprili 26, 2026.
Fainali hiyo inatarajiwa kupigwa kwenye uwanja huohuo April 29, 2026