OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Manula apewe gazeti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"We mpelekee moto, peleka moto"Yani leo na mr Wangu usiku utakua muruaaaa. Toka Simba iwe na maajabu haya kwa kweli tunafuraha sana na hamasa zinaongezeka kwenye mechi ile pendwa.
Hata ningekuwa mimi ningechoka tu, dakika 5 pira dakika 5 goal, inabidi uwe macho sana.Moderator mwenyewe kachoka kuEdit magoal [emoji23]
Natamani usiku uingie maana nimestimuletika kwa mpira huu wa simba aiseee"We mpelekee moto,peleka moto"
All the best..
Hii sio mechi kama unavyowaza wewe. TUNAHITAJI USHINDI KWA AJILI YA KUONGOZA LIGIKiukweli kocha angefanya sub, gemu kama hizi wacheze kina Ajib, Sheva Ame, Duchu nk. Maaana naona kabisa leo Mtibwa akipigwa 7 hapa
Kila akimaliza kuedit chuma kinatinga
Siku Za kazi 5Wiki ni siku 7
Simba wacheza
Fanya kazi acha kamariHasanteni vijana wa Msibazi hii game leo niliibetia over 1.5 hivyo nishafunga mahesabu. Bado Man city
Ohooo... mshaanza ngonjera!Nasikia Simba siku hizi kamati ya ufundi kuna michawi ya kiarabu....
wapuuzi kweli hawa jamaa wanafanya mazingaombwe