Hplp2275H
JF-Expert Member
- Jan 21, 2021
- 556
- 1,660
Acha ramli chonganishi.Fanya kazi acha kamari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ramli chonganishi.Fanya kazi acha kamari
Tafuteni na nye basiNasikia Simba siku hizi kamati ya ufundi kuna michawi ya kiarabu....
wapuuzi kweli hawa jamaa wanafanya mazingaombwe
Tulikuwa Tunawataka Bayern club bingwa dunia, ndio hivo wametolewa UEFA.Afrika simba uhakikaTunawataka Mamelod kule nusu fainali
Mwisho wenu ndio utakuwa hapo.Tunawataka Mamelod kule nusu fainali
Tunaomba radhi kwa ushindi mwembambaFanya kazi acha kamari
Tuko pamoja sister!Niko apa kaka [emoji847][emoji847] simba inanipa raha sana
Nilikuwa na mashabiki wa utopolo wakajisahau wakaanza kushangilia ile pasi, wote tukaacha kuwashangilia Simba tukaanza kuwashangiliaa waoChikwende amemgeuza jamaa kama chapati hahaha.
Hawana namna... zaidi ya 'kuunga juhudi'nilikuwa na mashabiki wa utopolo wakajisahau wakaanza kushangilia ile pasi , wote tukaacha kuwashangilia Simba tukaanza kuwashangiliaa wao
Uzuri Wa Kagere utauona kama simba imetawala mchezo na kutengeneza NASA's I nyingi za kufunga. Lakini kama simba ikikutana na wakali wenzakekama ilivyo kwenye caf champions league Kagere utamwona no takataka. Kwa hiyo kagere apangwe vpl tu lakini Caf champs apangwe Mugalu!! Huyu angalau anachachafya!!Huyu Kagere makali yake yapo ligi kuu tu, kule kwenye ligi ya wakubwa anakuwa kama Saporng