Simba 5-0 Mtibwa Sugar | VPL | Benjamin Mkapa stadium

Simba 5-0 Mtibwa Sugar | VPL | Benjamin Mkapa stadium

Simba leo wamezindua PIRA RAMADHAN ajili ya mechi zote ndani ya ramadhani, bahati mbaya utopolo nao watakutana na zahma hili lilozinduliwa kwa mtibwa leo

NAWAONEA HURUMA UTO
 
Huyu Kagere makali yake yapo ligi kuu tu, kule kwenye ligi ya wakubwa anakuwa kama Saporng
Uzuri Wa Kagere utauona kama simba imetawala mchezo na kutengeneza NASA's I nyingi za kufunga. Lakini kama simba ikikutana na wakali wenzakekama ilivyo kwenye caf champions league Kagere utamwona no takataka. Kwa hiyo kagere apangwe vpl tu lakini Caf champs apangwe Mugalu!! Huyu angalau anachachafya!!
 
Back
Top Bottom