Mwalimu arotate:HT Simba mabingwa wa Afrika 3 - 0 Mtibwa
Bwalya out, Bocco in..
Na Mkude inn, Nyoni out
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu arotate:HT Simba mabingwa wa Afrika 3 - 0 Mtibwa
Mimi ni TP MazembeeeeWewe timu gani humu
Mkuu tunautaka ubingwa kwa hali na maliKiukweli kocha angefanya sub, gemu kama hizi wacheze kina Ajib, Sheva Ame, Duchu nk. Maaana naona kabisa leo Mtibwa akipigwa 7 hapa
Kipindi cha pili tunaanza upya Simba 0 Vs 0 Mtibwa-second Half.mods wafanye marekebisho hapo juu isomeke 3-o
Naaam!!!HT Simba mabingwa wa Afrika 3 - 0 Mtibwa
Aingie Bocco, Mkude tjen dakika ya 75 ChikwendeKiukweli kocha angefanya sub, gemu kama hizi wacheze kina Ajib, Sheva Ame, Duchu nk. Maaana naona kabisa leo Mtibwa akipigwa 7 hapa
Ngoja leo wakinywe kikombe cha ghadhabuHata walivyotoa draw round 1 waliongea sana
Eehh!yaani!!!Kipindi cha pili tunaanza upya Simba 0 Vs 0 Mtibwa-second Half.
Aki draw au kupigwa mtakuja kuaanza kulaumu hapaKiukweli kocha angefanya sub, gemu kama hizi wacheze kina Ajib, Sheva Ame, Duchu nk. Maaana naona kabisa leo Mtibwa akipigwa 7 hapa
Simba mume wao
Aki draw au kupigwa mtakuja kuaanza kulaumu hapa
Maana yake hawatakua na viwango vya kuwepo simbaAki draw au kupigwa mtakuja kuaanza kulaumu hapa