Simba achaneni na Pablo

Simba achaneni na Pablo

Kocha alikuwa Kishingo. Yule jamaa alikuwa vzr sana.

Da Rosa alikuwa mweupe Sana, wengi tulidhani alikuwa kocha mzuri kutokana na jinsi timu aloyoipokea toka kwa Sven ilivyokuwa inacheza pira BIRIAN, aisee msimu ulivyoanza, akaenda pre season na timu yake aliyoisajili, ilirudi inacheza pira takataka
Naungana na wewe ila kishingo anataka kuchukua mikoba ya ukocha mkuu chipolo polo
 
Gomezi Alikuwa anauelewano mzuri na wachezaji.

Alikuwa akiheshimika na Uongozi na wachezaji.

Alikuwa na MATOKEO mazuri Uwanjani.
Alikuwa na soka safi.

HAKUWAHI kuruhisu magori zaidi ya mchezo mmoja tu.
Gomez alitembelea upepo timu iliyoachwa na Kishingo

Ndio maana alishindwa kutengeneza timu yake pale Chma na Miq walivyoondoka na alikaa sana na timu kipindi cha maandalizi

Ile timu iliyotolewa na Kaizer robo final kwa Kishingo ule mwaka tungefika final kiulaini tu.
 
Kaka unajua boli sana na una jicho la kiufundi.

Sven ndio mtu aliekuwa nyuma ya uchezaji ule wa Simba ( Biryani football).
Sio kwamba Sven kafuata nyayo za uchebe? Maana yeye ndiye aliyeanza kuipa Simba mafanikio ya kuifikisha robo fainali na mpira wa aina ya biriani

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mimi na rafiki yangu Kalpana tuna imani kubwa na kocha wetu Juma Mgunda aka Guardiola Mnene.

Kupitia Juma Mgunda, tuna uhakika wa kufika nusu fainali kwenye Champions League! Lakini pia tunaweza kuurejesha ubingwa wa Ligi kuu msimu huu kutoka mikononi mwa watani wetu.
Ahaahhahahah
 
Wakuu nimesikia tetesi kwamba Kocha wa 2020 - 2021 Pablo Flanko Martine yupo Tanzania. Pablo alikuwa akizira zira, alikuwa akigombana na akina Wawa, anapigapiga Machupa, hajawahi kuwa na ubingwa wowote. Na limpira lake la kukimbia kimbia.

Kuna tetesi kwamba huenda akamalizana na Uongozi wa Simba kurudi kibaruani kama Kocha Mkuu.

Kumrudisha Huyu mtu ni kwenda kujihakikishia kushika nafasi ya tatu.

1. Yanga
2. Azam
3. Simba

Tujiandae kisaikolojia.

Ushauri
Ningetamani sana Simba wamrudishe Didier Gomez Darosa. Huyu ni moja kati ya Makocha wangu bora kabisa kuwahi kuwaona Tanzania. Ila kiherehere cha kumtoa Simba kwa uzembe wa Wawa kwenye mchezo wa Jwaneng Galax.

Kulikuwa na tetesi kuwa Simba imemalizana na kocha wa Vipers ya Uganda, Mabingwa wa soka nchini Uganda Robertinho Oliviera.

Kocha huyo ambaye amekuwa na msimu bora na klabu hiyo ya nchini Uganda na inaelezwa amewavutia mabosi wa Klabu ya Simba miamba hiyo ya soka nchini Tanzania. Kocha wa Vipers ni mzuri, ikishindikana Gomez.

NB: Simba waache ushamba wa kubabili makocha.
we acha upuuzi pablo kaletwa na azam
 
Mimi mbona waliponipiga hiyo ban yao ya wiki, ilikuwa nikijaribu tu kufungua inaniletea maelezo ya kupigwa ban! Yaani nilikuwa sina access yoyote ile hata ya kusoma kilichomo humu!!

Au moderator aliyenipiga hiyo ban alikuwa ni shabiki wa simba?
Sababu Ni nn sas ulipigwa ban mban wew huwa Ni mtu POA tu hutukani mtu Wala kujibizana sna na member Ni wee na yanga yako tu

Kwanin ulipigwa ban je ukipigwa ban unapewa sababu za kupigwa,
 
Sababu Ni nn sas ulipigwa ban mban wew huwa Ni mtu POA tu hutukani mtu Wala kujibizana sna na member Ni wee na yanga yako tu

Kwanin ulipigwa ban je ukipigwa ban unapewa sababu za kupigwa,
Ban nyingine huwa ni za mchongo tu. Hivyo unalazimika tu kukubaliana na hao wapigaji. Maana hata nafasi tu ya kujitetea hupewi!

Sasa sijui na jamii forums nayo inaendeshwa kidikteta!!! 🤔
 
Back
Top Bottom