Simba acheni uhuni mlipeni Phiri pesa yake

Simba acheni uhuni mlipeni Phiri pesa yake

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wakuu

Kumbe sababu kubwa ya yule mzambia Phiri kutopangwa Mara kwa Mara ni sababu ana mgomo na anawadai chake Simba.

Kwa kuwa klabu hiyo imezoea kuendeshwa kihuni basi kila anayedai chake anapigwa benchi na kuitwa mchochezi.!

Ilianza kwa Beno leo yuko Wapi? Kashasepa zake. Sasa Phiri kudai hela zake imekuwa nongwa? Ndo kuwekwa benchi mpaka na papaa bocco?

Na huyu kipa Abel inabidi ajiangalie sana maana nimesikia kaletwa kwa mkataba kauli tu. Yaani kaahidiwa milioni 40 na hajapewa hata senti! Huu uonevu na utapeli hii klabu imeshindikana kwa kweli..

Yale ya kina Okwa kumbe ni ukweli kabisa .. Sio ajabu msimu huu wakashika nafasi ya 9.

Yetu macho.
 
Wakuu
Kumbe sababu kubwa ya yule mzambia phiri kutopangwa Mara kwa Mara ni sababu ana mgomo na anawadai chake simba ..

Kwa kuwa klabu hiyo imezoea kuendeshwa kihuni basi kila anayedai chake anapigwa benchi na kuitwa mchochezi.!

Ilianza kwa beno leo yuko Wapi? Kashasepa zake
Sasa phiri kudai hela zake imekuwa nongwa?

Ndo kuwekwa benchi mpaka na papaa bocco?

Na huyu kipa Abel inabidi ajiangalie sana maana nimeskia kaletwa kwa mkataba kauli tu ..
Yaani kaahidiwa milipni 40 na hajapewa hata senti!

Huu uonevu na utapeli hii klabu imeshindikana kwa kweli..

Yale ya kina okwa kumbe ni ukweli kabisa ..
Sio ajabu msimu huu wakashika nafasi ya 9 ..

Yetu macho.
Hii ni kwa mujibu wa Ricardo Momo shabiki lia lia wa Yanga anayeitumia Wasafi FM kuichafua Simba
 
Kama ni hilo kweli basi Phiri kwaheri Simba!! maana mashabiki walijua hapangwi kwa kuonewa na kocha kumbe anagoma????
 
Kama ni hilo kweli basi Phiri kwaheri Simba!! maana mashabiki walijua hapangwi kwa kuonewa na kocha kumbe anagoma????
Alianza kuvimba mwenyewe na uongozi nao wakampigia kabisa
 
Back
Top Bottom