Simba acheni uhuni mlipeni Phiri pesa yake

Wakuu

Kumbe sababu kubwa ya yule mzambia Phiri kutopangwa Mara kwa Mara ni sababu ana mgomo na anawadai chake Simba.

Kwa kuwa klabu hiyo imezoea kuendeshwa kihuni basi kila anayedai chake anapigwa benchi na kuitwa mchochezi.!

Ilianza kwa Beno leo yuko Wapi? Kashasepa zake. Sasa Phiri kudai hela zake imekuwa nongwa? Ndo kuwekwa benchi mpaka na papaa bocco?

Na huyu kipa Abel inabidi ajiangalie sana maana nimesikia kaletwa kwa mkataba kauli tu. Yaani kaahidiwa milioni 40 na hajapewa hata senti! Huu uonevu na utapeli hii klabu imeshindikana kwa kweli..

Yale ya kina Okwa kumbe ni ukweli kabisa .. Sio ajabu msimu huu wakashika nafasi ya 9.

Yetu macho.
GENTAMYCINE njoo ukate mzizi wa fitina huku
 
Kwa usalama wa phiri aombe kuondoka akatafute changamoto nyingine.
 
Wakuu

Kumbe sababu kubwa ya yule mzambia Phiri kutopangwa Mara kwa Mara ni sababu ana mgomo na anawadai chake Simba.

Kwa kuwa klabu hiyo imezoea kuendeshwa kihuni basi kila anayedai chake anapigwa benchi na kuitwa mchochezi.!

Ilianza kwa Beno leo yuko Wapi? Kashasepa zake. Sasa Phiri kudai hela zake imekuwa nongwa? Ndo kuwekwa benchi mpaka na papaa bocco?

Na huyu kipa Abel inabidi ajiangalie sana maana nimesikia kaletwa kwa mkataba kauli tu. Yaani kaahidiwa milioni 40 na hajapewa hata senti! Huu uonevu na utapeli hii klabu imeshindikana kwa kweli..

Yale ya kina Okwa kumbe ni ukweli kabisa .. Sio ajabu msimu huu wakashika nafasi ya 9.

Yetu macho.
Nani kakuambia?Acha upukunusi.
 
Mimi ninachoona phiri sio tegemeo pale Simba angekua tegemeo km anadai angelipwa.
Mbona chama akitishia kusepa timu nzima had viongoz wanahaha na kumuongeza chochote kitu?
Umuhimu wako kwenye timu ndio jeur Yako ya kuwa sehemu salama
 
Back
Top Bottom