marco polo jr
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 362
- 1,771
Ebu nielezeni mbona sasa tunafukuzaga kochaSimba ya sasa haina Nguzo za Uswahili Kuna Gap kubwa sana Kama mpira pesa kawaulize Azam.
Ukiona kocha amifukuzwa Mara nyingi inakuwaga ni mbuzi la kafakara ili kupe waendelee kunyonya Damu msimbazi hivi kweli Dirisha Dogo wameshindwa kumsajili hata mchezaji mmoja mada faka!!!Ebu nielezeni mbona sasa tunafukuzaga kocha
Oh nimedokezwa na Mo kuwa Zizzu mchezaji wa Zamalek atakuja kuichezea simba! Yanga mtaipata! Hongereni wanasimbaNarudia tena Simba acheni uzungu walioziunda kamati za ufundi hawakuwa wajinga . Waliokataa uzungu hawakuwa wajinga kujifanya hamtaki kamati za ufundi kwa Tanzania munajisumbua 90% mpira wa Tanzania unaamuliwa nje ya uwanja pia kuna pengo kubwa sana la mzee hanspope yule alikuwa mafia ebu tafuteni mafia na muache uzungu.
OkayOh nimedokezwa na Mo kuwa Zizzu mchezaji wa Zamalek atakuja kuichezea simba! Yanga mtaipata! Hongereni wanasimba
Sisi tuna MunguNarudia tena Simba acheni uzungu walioziunda kamati za ufundi hawakuwa wajinga . Waliokataa uzungu hawakuwa wajinga kujifanya hamtaki kamati za ufundi kwa Tanzania munajisumbua 90% mpira wa Tanzania unaamuliwa nje ya uwanja pia kuna pengo kubwa sana la mzee hanspope yule alikuwa mafia ebu tafuteni mafia na muache uzungu.
Kwani Chama kajileta bure?Ukiona kocha amifukuzwa Mara nyingi inakuwaga ni mbuzi la kafakara ili kupe waendelee kunyonya Damu msimbazi hivi kweli Dirisha Dogo wameshindwa kumsajili hata mchezaji mmoja mada faka!!!