Simba acheni uzungu

Simba acheni uzungu

marco polo jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
362
Reaction score
1,771
Narudia tena Simba acheni uzungu walioziunda kamati za ufundi hawakuwa wajinga . Waliokataa uzungu hawakuwa wajinga kujifanya hamtaki kamati za ufundi kwa Tanzania munajisumbua 90% mpira wa Tanzania unaamuliwa nje ya uwanja pia kuna pengo kubwa sana la mzee hanspope yule alikuwa mafia ebu tafuteni mafia na muache uzungu.
 
Simba ya sasa haina Nguzo za Uswahili Kuna Gap kubwa sana Kama mpira pesa kawaulize Azam.
 
Narudia tena Simba acheni uzungu walioziunda kamati za ufundi hawakuwa wajinga . Waliokataa uzungu hawakuwa wajinga kujifanya hamtaki kamati za ufundi kwa Tanzania munajisumbua 90% mpira wa Tanzania unaamuliwa nje ya uwanja pia kuna pengo kubwa sana la mzee hanspope yule alikuwa mafia ebu tafuteni mafia na muache uzungu.
Oh nimedokezwa na Mo kuwa Zizzu mchezaji wa Zamalek atakuja kuichezea simba! Yanga mtaipata! Hongereni wanasimba
 
Narudia tena Simba acheni uzungu walioziunda kamati za ufundi hawakuwa wajinga . Waliokataa uzungu hawakuwa wajinga kujifanya hamtaki kamati za ufundi kwa Tanzania munajisumbua 90% mpira wa Tanzania unaamuliwa nje ya uwanja pia kuna pengo kubwa sana la mzee hanspope yule alikuwa mafia ebu tafuteni mafia na muache uzungu.
Sisi tuna Mungu
 
Ukiona kocha amifukuzwa Mara nyingi inakuwaga ni mbuzi la kafakara ili kupe waendelee kunyonya Damu msimbazi hivi kweli Dirisha Dogo wameshindwa kumsajili hata mchezaji mmoja mada faka!!!
Kwani Chama kajileta bure?
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom