Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,433
- 2,791
Wana Simba a.k.a Lunyasi kila kitabu na zama zake. Huu ni mwaka wa Yanga, wamefanya vizuri mno. Sisi ni Watanzania, kiu yetu nikuona timu zetu zinafanikiwa kwenye uso wa ndani na kimataifa.
Nimeshangaa kuona nyuzi za chuki wazi wazi zikitoka humu. Jamani kwanini roho mbaya hivyo? Simba imewahi kufanya vizuri miaka ya nyuma, wenye akili sawasawa waliipongeza na wengine walisema Yanga na timu zingine ziige kwa Simba.
Sasa wameiga na kuongeza vya ziada matunda yake ndiyo haya. Kwanini gubu? Kwanini wivu Tena? Nasema uongo Ndugu zangu?
Wananchi, Yanga mmetisha sana mwaka huu. Mimi naangalia nchi zaidi kuliko timu moja.
Hongera, hongera, hongera tena wananchi, mliupiga mwingi Algeria.