Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
wanacheza wengineHawachoki.. mchana pia wamecheza!
Leo ni zamu ya kocha Robertinho kuweka mpira kwapani kama kocha wa Azam alivyofanya jana. Taarifa za hivi punde ni kwamba mnyama keshapigwa vitatu bila majibuMpira ni Mapumziko huko Uturuki na Simba yuko nyuma kwa goli moja.
Mchezo ni mzuri na wa kuvutia kwa pande zote mbili lakini ni wenyeji wameanza kuzifumania nyavu...
Hizo ni Timu mbili tofautiAggregate Simba 2 Turan 1 so Simba ndiyo mshindi
SImba bado haijacheza mechi, hizo timu ni kama spalding partners tu.Mpira ni Mapumziko huko Uturuki na Simba yuko nyuma kwa goli moja.
Mchezo ni mzuri na wa kuvutia kwa pande zote mbili lakini ni wenyeji wameanza kuzifumania nyavu.
View attachment 2700735
Hizo ni Timu mbili tofauti
Iliyocheza asubuhi ni Turan PFK
Mchezo wa jioni ni Turan Tovus
Turan Tovuz mwenyeji? Nae si yupo pre season akitokea Azerbaijan?Mpira ni Mapumziko huko Uturuki na Simba yuko nyuma kwa goli moja.
Mchezo ni mzuri na wa kuvutia kwa pande zote mbili lakini ni wenyeji wameanza kuzifumania nyavu.
View attachment 2700735
Naona msitu nyuma ya goli. Mko Uturuki kweli nyie makolo? Usikute mmejificha Kasulu. Hamuaminiki!Mpira ni Mapumziko huko Uturuki na Simba yuko nyuma kwa goli moja.
Mchezo ni mzuri na wa kuvutia kwa pande zote mbili lakini ni wenyeji wameanza kuzifumania nyavu.
View attachment 2700735
Ni kikundi cha mafundi seremala pale Uturuki. Wako na team yao ya mtaani, ndio imewapopoa Makolo!Turan , ni timu au Masela tu huko
Hiyo timu sio ya uturukiNi kikundi cha mafundi seremala pale Uturuki. Wako na team yao ya mtaani, ndio imewapopoa Makolo!
[emoji28][emoji28][emoji28]