Simba afungwa 1-0 na 'Turan tovus ya Uturuki

Simba afungwa 1-0 na 'Turan tovus ya Uturuki

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Mpira ni Mapumziko huko Uturuki na Simba yuko nyuma kwa goli moja.

Mchezo ni mzuri na wa kuvutia kwa pande zote mbili lakini ni wenyeji wameanza kuzifumania nyavu.
 
Alooooooo
Kwani Mkude na kibu si wapoooooo
 
Mpira ni Mapumziko huko Uturuki na Simba yuko nyuma kwa goli moja.
Mchezo ni mzuri na wa kuvutia kwa pande zote mbili lakini ni wenyeji wameanza kuzifumania nyavu...
Leo ni zamu ya kocha Robertinho kuweka mpira kwapani kama kocha wa Azam alivyofanya jana. Taarifa za hivi punde ni kwamba mnyama keshapigwa vitatu bila majibu
 
Baada ya kushinda katika mchezo wa kwanza kwa magoli mawili kwa nunge dhidi ya Turan PFK uliochezwa asubuhi, na katika mchezo wa jioni Simba wamelala kwa goli moja dhidi ya Turan Tovus.
.
.
.
.
#solomatv_updates
png_20230727_210902_0000.jpg
 
Mpira ni Mapumziko huko Uturuki na Simba yuko nyuma kwa goli moja.

Mchezo ni mzuri na wa kuvutia kwa pande zote mbili lakini ni wenyeji wameanza kuzifumania nyavu.

View attachment 2700735
SImba bado haijacheza mechi, hizo timu ni kama spalding partners tu.

Hizo timu anacheza nazo ni kama hizi timu zetu akina; Kilimanjaro, Misitu Fc, Lipuli Fc, Tanga Middle, Kurugenzi Fc, Eagle Fc, Tunduru Korosho Fc, Malimao Fc.

Hivyo bbasi, kuziita hizo kuwa ni mechi ni kuikosea heshima Simba.
 
Back
Top Bottom