anzishia uzi hiyo ahadi yako usjificha kwenye uzi wa mtu mwengineHakiya mungu kama simba ikifika robo final msimu huu najitoa jf
Unakula mahindi, unatafuna kalanga na muwa huku unaimba.Soka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?
Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
Kweli huu muandiko mwakalebela kabisa yani🤔Huoni aibu bwana mwakalebela?
Robo ipi au ya Ndondo cup,Simba kwa sasa hakuna timuHakiya mungu kama simba ikifika robo final msimu huu najitoa jf
Nenda kakate Rufaa jinga weweSoka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?
Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
We mwenzetu mwenye timu si ulikuwemo humo,, mbona umetolewa raundi ya kwanzaRobo ipi au ya Ndondo cup,Simba kwa sasa hakuna timu
Huu ni utopolo uliochanganyika na upoyoyo.Nilijua ni mimi tu nikiyeshangazwa na ile Red card,mpira haukusimama baada ya kolo kujiangusha,refa na wasaidizi wake hawakuona km ni tukio la kusimamisha mchezo,cha ajabu refa kukubali kusimuliwa tukio na mchezaji mnufaika (Mugalu) na kufanyia maamuzi porojo za Mugalu,Mudi kaamua kununua ushindi[emoji24]
Kwa mpira huu, hata nyie round ya kwanza mnaweza kuchomoka,Morocco mlienda kufanya nini? Ni vizuri tuwaambie ukweli ili mjiandae vizuri kwa huko hakutakuwa na hizi red cards za kubumba.We mwenzetu mwenye timu si ulikuwemo humo,, mbona umetolewa raundi ya kwanza
More startling, instead of addressing the issues that have destabilized them to the core, they are busy heaping the blames on their arch rivals.Whatever the result, Simba are a pale shadow of what they used to be.
Needless to say, the side now relies on the backing of the match officials to get the results. It's very pathetic.
Huo utabili nyie mmeanza lini? Nyie mshatolewa raundi ya kwanza bila hata ya goli moja,, tulieni mwakani tuwabebe tenaKwa mpira huu, hata nyie round ya kwanza mnaweza kuchomoka,Morocco mlienda kufanya nini? Ni vizuri tuwaambie ukweli ili mjiandae vizuri kwa huko hakutakuwa na hizi red cards za kubumba.
Ulitumwa upeleke ule mzigo bila shaka.Soka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?
Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
watu Mo alivyotekwa walishangilia na kuomba afe kabisa unashangaa kuhusu leo? hawa washavuka kwenye mstari wa ushabiki, they are confused wana roho za kutu sana
Kwani hakukuwa na waamuzi mule hadi wapate ushauri Toka kwa Mugalu, mnufaika? Umewahi kuiona wapi hii duniani, kisa kumridhisha Mwamed baada ya kukasirikawatu Mo alivyotekwa walishangilia na kuomba afe kabisa unashangaa kuhusu leo? hawa washavuka kwenye mstari wa ushabiki, they are confused wana roho za kutu sana
Hivi refa alikuwa na uhakika gani kama mchezaji aliumia wakati hakuliona tukio? Inakuwaje kama mchezaji mwingine akijiangusha kusudi halafu mchezaji mwenzake akatoa ushuhuda wa uongo kwa refa? Nitashangaa kama TFF itaikubali Ile red card kwakweli, maana itaweka presidency kwa matukio mengine kama Yale huko mbele.Mechi ya Biashara united Kennedy Juma alistahili Red card chakushangaza refa hakutoa na tukio aliliona, Leo refa hajaliona tukio lakini amefanya maamuzi baada ya kujadiliana na mchezaji wa Simba (Mugalu), mpira wetu una maajabu ya pekee kabisa.
Kwani hakukuwa na waamuzi mule hadi wapate ushauri Toka kwa Mugalu, mnufaika? Umewahi kuiona wapi hii duniani, kisa kumridhisha Mwamed baada ya kukasirika
PETITION: MILIONI 15 ILIYOKO DODOMA ISIRUDISHWE DSM KWA WAUZA MAGODORO,WAHUNI WA DODOMA JIJI WAMESHINDWA KAZI YA KUVUNJA WACHEZAJI WA SIMBA IKASAIDIE KUMWAGILIA UWANJA ULIO MKAVU NA KUPAUKA KAMA NGOZI YA LILE LIJAMAAMkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchung
Kweli kabisa, mpaka timu ipunguziwe mchezaji ndio Simba iishinde goli moja. Simba wamekwama wapi?
PETITION: MILIONI 15 ILIYOKO DODOMA ISIRUDISHWE DSM KWA WAUZA MAGODORO,WAHUNI WA DODOMA JIJI WAMESHINDWA KAZI YA KUVUNJA WACHEZAJI WA SIMBA IKASAIDIE KUMWAGILIA UWANJA ULIO MKAVU NA KUPAUKA KAMA NGOZI YA LILE LIJAMAAMkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchung
20B za MO mshajua zilipo?PETITION: MILIONI 15 ILIYOKO DODOMA ISIRUDISHWE DSM KWA WAUZA MAGODORO,WAHUNI WA DODOMA JIJI WAMESHINDWA KAZI YA KUVUNJA WACHEZAJI WA SIMBA IKASAIDIE KUMWAGILIA UWANJA ULIO MKAVU NA KUPAUKA KAMA NGOZI YA LILE LIJAMAA
(tafadhali sambaza ujumbe huu kwa wengine)
20B za MO mshajua zilipo?
PETITION: MILIONI 15 ILIYOKO DODOMA ISIRUDISHWE DSM KWA WAUZA MAGODORO,WAHUNI WA DODOMA JIJI WAMESHINDWA KAZI YA KUVUNJA WACHEZAJI WA SIMBA IKASAIDIE KUMWAGILIA UWANJA ULIO MKAVU NA KUPAUKA KAMA NGOZI YA LILE LIJAMAAMkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchung
Tuwashukuru Azam kuuonesha mpira wetu maana maajabu ya tukio kama lile tusingeyaona Wala kuyasikia. Kocha anafanya maamuzi makubwa kwa kuambiwa na mchezaji anaenufaika na adhabu kutolewa. Huyu ni refa wa kwanza duniani, ameingia kwenye Guinness book. TFF tunaisubiri itasema nini.PETITION: MILIONI 15 ILIYOKO DODOMA ISIRUDISHWE DSM KWA WAUZA MAGODORO,WAHUNI WA DODOMA JIJI WAMESHINDWA KAZI YA KUVUNJA WACHEZAJI WA SIMBA IKASAIDIE KUMWAGILIA UWANJA ULIO MKAVU NA KUPAUKA KAMA NGOZI YA LILE LIJAMAA