Simba aibu tupu, refa atoa red card kwa kuamriwa na mchezaji Mugalu

Soka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?

Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
Unakula mahindi, unatafuna kalanga na muwa huku unaimba.
 
Nilijua ni mimi tu nikiyeshangazwa na ile Red card,mpira haukusimama baada ya kolo kujiangusha,refa na wasaidizi wake hawakuona km ni tukio la kusimamisha mchezo,cha ajabu refa kukubali kusimuliwa tukio na mchezaji mnufaika (Mugalu) na kufanyia maamuzi porojo za Mugalu,Mudi kaamua kununua ushindi[emoji24]
Huu ni utopolo uliochanganyika na upoyoyo.
 
We mwenzetu mwenye timu si ulikuwemo humo,, mbona umetolewa raundi ya kwanza
Kwa mpira huu, hata nyie round ya kwanza mnaweza kuchomoka,Morocco mlienda kufanya nini? Ni vizuri tuwaambie ukweli ili mjiandae vizuri kwa huko hakutakuwa na hizi red cards za kubumba.
 
Whatever the result, Simba are a pale shadow of what they used to be.

Needless to say, the side now relies on the backing of the match officials to get the results. It's very pathetic.
More startling, instead of addressing the issues that have destabilized them to the core, they are busy heaping the blames on their arch rivals.
 
Kwa mpira huu, hata nyie round ya kwanza mnaweza kuchomoka,Morocco mlienda kufanya nini? Ni vizuri tuwaambie ukweli ili mjiandae vizuri kwa huko hakutakuwa na hizi red cards za kubumba.
Huo utabili nyie mmeanza lini? Nyie mshatolewa raundi ya kwanza bila hata ya goli moja,, tulieni mwakani tuwabebe tena
 
Soka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?

Ametoa kadi kwa kushauriwa na mchezaji ambae ni mnufaika na adhabu ile. Je, hii ni sahihi?
Ulitumwa upeleke ule mzigo bila shaka.
 
watu Mo alivyotekwa walishangilia na kuomba afe kabisa unashangaa kuhusu leo? hawa washavuka kwenye mstari wa ushabiki, they are confused wana roho za kutu sana

Mbumbumbu ni mbumbumbu kweli mpira uchezwe Dodoma lakini kila shabiki wa mikia/Bodaboda lazima amtaje GSM kwani yeye anahusika vipi mchezi mbovu mnaocheza naona mna allege na Gsm halafu hatujaona kombe ulilolileta kazi kujisifia tu
 
watu Mo alivyotekwa walishangilia na kuomba afe kabisa unashangaa kuhusu leo? hawa washavuka kwenye mstari wa ushabiki, they are confused wana roho za kutu sana
Kwani hakukuwa na waamuzi mule hadi wapate ushauri Toka kwa Mugalu, mnufaika? Umewahi kuiona wapi hii duniani, kisa kumridhisha Mwamed baada ya kukasirika
 
Mechi ya Biashara united Kennedy Juma alistahili Red card chakushangaza refa hakutoa na tukio aliliona, Leo refa hajaliona tukio lakini amefanya maamuzi baada ya kujadiliana na mchezaji wa Simba (Mugalu), mpira wetu una maajabu ya pekee kabisa.
Hivi refa alikuwa na uhakika gani kama mchezaji aliumia wakati hakuliona tukio? Inakuwaje kama mchezaji mwingine akijiangusha kusudi halafu mchezaji mwenzake akatoa ushuhuda wa uongo kwa refa? Nitashangaa kama TFF itaikubali Ile red card kwakweli, maana itaweka presidency kwa matukio mengine kama Yale huko mbele.
 
Kwani hakukuwa na waamuzi mule hadi wapate ushauri Toka kwa Mugalu, mnufaika? Umewahi kuiona wapi hii duniani, kisa kumridhisha Mwamed baada ya kukasirika
Mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchung
PETITION: MILIONI 15 ILIYOKO DODOMA ISIRUDISHWE DSM KWA WAUZA MAGODORO,WAHUNI WA DODOMA JIJI WAMESHINDWA KAZI YA KUVUNJA WACHEZAJI WA SIMBA IKASAIDIE KUMWAGILIA UWANJA ULIO MKAVU NA KUPAUKA KAMA NGOZI YA LILE LIJAMAA
 
Kweli kabisa, mpaka timu ipunguziwe mchezaji ndio Simba iishinde goli moja. Simba wamekwama wapi?
Mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchung
PETITION: MILIONI 15 ILIYOKO DODOMA ISIRUDISHWE DSM KWA WAUZA MAGODORO,WAHUNI WA DODOMA JIJI WAMESHINDWA KAZI YA KUVUNJA WACHEZAJI WA SIMBA IKASAIDIE KUMWAGILIA UWANJA ULIO MKAVU NA KUPAUKA KAMA NGOZI YA LILE LIJAMAA
(tafadhali sambaza ujumbe huu kwa wengine)
 
20B za MO mshajua zilipo?
 
Tuwashukuru Azam kuuonesha mpira wetu maana maajabu ya tukio kama lile tusingeyaona Wala kuyasikia. Kocha anafanya maamuzi makubwa kwa kuambiwa na mchezaji anaenufaika na adhabu kutolewa. Huyu ni refa wa kwanza duniani, ameingia kwenye Guinness book. TFF tunaisubiri itasema nini.
 
Back
Top Bottom