Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siawaoni nafasi ya pili NBC PL

BabuKijiko

Member
Joined
May 3, 2024
Posts
24
Reaction score
38
Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siwaoni nafasi ya pili nbcpl msimu huu 2023/2024
Simba watacheza leo mchezo wao mwingine wa ligi kuu ya NBCPL na ikitokea kupoteza mchezo wa leo atakuwa na wakati mgumu wa kumaliza nafasi ya pili msimuu huu.

kwahiyo Kocha Mgunda anakazi kubwa yakuifanya Simba ipate matokea mazuri kila mchezo ili kuinusuru kumaliza nafasi ya ya 3 ambayo itawanyima kucheza michuano ya klabu bingwa Afrika msimu ujao 2024/2025

Simba kwa sasa yupo nafasi ya 3 na alama 47 michezo 22 nyuma ya Azam fc mwenye alama 54 katika nafasi ya pili na mchezo utakaofuata ni wanakutana wao mei 9 na ikitokea Azam ameshinda basi nafasi kubwa ya kumaliza nafasi ya pili itakuwa kwao

Vipi hapo mdau Simba atatoboa?
 
Yaani Mtibwa hii hii iliyojichokea ndiyo imfunge Simba! Leo Simba lazima itajitutumua kupata ushindi mnono, ili kurudisha imani kwa mashabiki wake.
 
Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siwaoni nafasi ya pili nbcpl msimu huu 2023/2024
Simba watacheza leo mchezo wao mwingine wa ligi kuu ya NBCPL na ikitokea kupoteza mchezo wa leo atakuwa na wakati mgumu wa kumaliza nafasi ya pili msimuu huu.

kwahiyo Kocha Mgunda anakazi kubwa yakuifanya Simba ipate matokea mazuri kila mchezo ili kuinusuru kumaliza nafasi ya ya 3 ambayo itawanyima kucheza michuano ya klabu bingwa Afrika msimu ujao 2024/2025

Simba kwa sasa yupo nafasi ya 3 na alama 47 michezo 22 nyuma ya Azam fc mwenye alama 54 katika nafasi ya pili na mchezo utakaofuata ni wanakutana wao mei 9 na ikitokea Azam ameshinda basi nafasi kubwa ya kumaliza nafasi ya pili itakuwa kwao

Vipi hapo mdau Simba atatoboa?
Baada ya mechi muwe pia na utaratibu wa kuja kurekebisha mahesabu ya 'nabii' mnazozitoa. Unakuta jitu linaanzisha uzi mrefu halafu mechi ikiisha lina 'nyuti'
 
Back
Top Bottom