technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona unakaribia kuunga juhudi wewe.
Yanga tutamfunga pote kwa Mkapa na KigomaSimba hana uwezo wa kumfunga yanga
Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm
Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city na Chelsea ile fainali ya UEFA.
Simba anakufa na atakufa tena kigoma gemu yq FA.
Mbona unaahidi jambo jepesi! Wengi tu wamejiunga na CCM na hakuna ajabu yoyote. Ahidi kumtoa mkeo aliwe cha asubuhi mbele yakoSimba hana uwezo wa kumfunga yanga. Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm
Sio unataka kujiunga CCM kijanja?Simba hana uwezo wa kumfunga yanga
Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm
Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city na Chelsea ile fainali ya UEFA.
Simba anakufa na atakufa tena kigoma gemu yq FA.
Siasa ni itikadi,nilivyoelewa mim unaachana na uliberali na kujiunga na uhafidhina lkn kibongobongo kuna watu wanaangalia rangi tu na staili ya uongeaji.Simba hana uwezo wa kumfunga yanga
Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm
Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city na Chelsea ile fainali ya UEFA.
Simba anakufa na atakufa tena kigoma gemu yq FA.
Hatakama simba tusiposhinda ama tu uko fisiemu ushapoteza credibilty....ila kimsingi yanga atapotea kesho tena vizur kabis analalaSimba hana uwezo wa kumfunga yanga
Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm
Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city na Chelsea ile fainali ya UEFA.
Simba anakufa na atakufa tena kigoma gemu yq FA.
Ni kwamba siku nyingi anatamani kijiunga na CCM tatizo anaona noma makamanda wenzake watamuonaje.Naona unakaribia kuunga juhudi wewe.