Simba akishinda najiunga na CCM

Simba akishinda najiunga na CCM

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Simba hana uwezo wa kumfunga yanga

Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm

Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city na Chelsea ile fainali ya UEFA.

Simba anakufa na atakufa tena kigoma gemu ya FA.
 
Kama ni demu unashangaa kishavua kabla hujamtongoza! Kumbe makamanda hua wanaitamani ccm Bila hata manunuzi eeh!
Tushasema cdm ishakufa kitambo sana
 
Hivi hii mech ni finally au??
 
Simba hana uwezo wa kumfunga yanga

Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm

Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city na Chelsea ile fainali ya UEFA.

Simba anakufa na atakufa tena kigoma gemu yq FA.
Yanga tutamfunga pote kwa Mkapa na Kigoma
 
Sema tu umetamani kuifuata Sare ya Yanga.

Naangalia nasema Hiiiiii (kwa sauti ya Mwendazake).
 
Simba hana uwezo wa kumfunga yanga

Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm

Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city na Chelsea ile fainali ya UEFA.

Simba anakufa na atakufa tena kigoma gemu yq FA.
Sio unataka kujiunga CCM kijanja?

Tubet elfu 30 mbele ya hadhara mkuu

Simba anaua
 
Simba hana uwezo wa kumfunga yanga

Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm

Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city na Chelsea ile fainali ya UEFA.

Simba anakufa na atakufa tena kigoma gemu yq FA.
Siasa ni itikadi,nilivyoelewa mim unaachana na uliberali na kujiunga na uhafidhina lkn kibongobongo kuna watu wanaangalia rangi tu na staili ya uongeaji.
 
Simba hana uwezo wa kumfunga yanga

Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm

Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city na Chelsea ile fainali ya UEFA.

Simba anakufa na atakufa tena kigoma gemu yq FA.
Hatakama simba tusiposhinda ama tu uko fisiemu ushapoteza credibilty....ila kimsingi yanga atapotea kesho tena vizur kabis analala

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Naona unakaribia kuunga juhudi wewe.
Ni kwamba siku nyingi anatamani kijiunga na CCM tatizo anaona noma makamanda wenzake watamuonaje.
Ameshaona yanga lazima ifungwe so itakuwa mteremko kwake kuhamia CCM bila lawama nyingi.
 
Back
Top Bottom