Simba akishinda nipigwe ban hapa JF

Awamu ile watu walipigwa ban mechi nadhan ya simba na yanga ila ban zilikaa masaa machachee tu
 
Cc. Modes

Najua una account ingine utarud hapa kucomment...
 
Najua unatype huku unatetemeka [emoji23]
Mechi ya mwisho kwa Mkapa Simba 1 vs 0 Al ahly, Ahly alikua anaomba mechi iishe.

Ahly walikua wakisema Eloi,,Eloi Lama Sabaktani,,mungu wangu mungu wangu mbona umenitema.

Simba tunamalizia tulipoishia.
Woooyoooooooooooo.
 
Simba endelea kuwakalia uto huko kileleni..yani mpk watapike maji yote ya bwawani wanayomeza kwa kutokufunga midomo... 🐸 🙂 🐸 🐸 🐸
 
Miongozo ya maudhui ya JF imeeleza ban inavyotokea.

Kwa ombi lako hilo hutopigwa ban labda uvunje sheria zilizoanisishwa kwahiyo ikitokea mnyama kashinda tutakuwepo hapa kukukaanga vizuri tu labda uchukue sabbatical leave.
 
Mechi ya mwisho kwa Mkapa Simba 1 vs 0 Al ahly, Ahly alikua anaomba mechi iishe.

Ahly walikua wakisema Eloi,,Eloi Lama Sabaktani,,mungu wangu mungu wangu mbona umenitema.

Simba tunamalizia tulipoishia.
Woooyoooooooooooo.
Simba haijawahi kuwa na jeuri mbele ya waarabu......labda yanga
 
Miongozo ya maudhui ya JF imeeleza ban inavyotokea.

Kwa ombi lako hilo hutopigwa ban labda uvunje sheria zilizoanisishwa kwahiyo ikitokea mnyama kashinda tutakuwepo hapa kukukaanga vizuri tu labda uchukue sabbatical leave.
Najua hata ww unaelewa kuwa kolo hawezi toboa
 
Simba endelea kuwakalia uto huko kileleni..yani mpk watapike maji yote ya bwawani wanayomeza kwa kutokufunga midomo... [emoji196] 🙂 [emoji196] [emoji196] [emoji196]
Teh teh .japo mi sina timu..ila .ubingwa wa yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…