Simba akishinda nipigwe ban hapa JF

Ungesema tukupige mtungo hapo sawa kwani ban si unaweza ukatumia account nyingine tu acha utoto huku sio Facebook
 
Achana na hizo ndoto mkuu
Kwakweli watani kesho wanamechi ngumu sana ila tunawaombea ushindi wakufungwa goli chache.

Kiuzalendo tuwaombee washinde sema tatizo unakutana na Ahly Knockout stage hakuna option nyingine ila kufungwa tu!
ila naskia SIMBA wanarekodi za kuwafunga na kuwaondoa mabingwa.
 
Ushindi kwa hisani ya Tatu Malogo? Hata huoni aibu
 
Mimi naomba tukishinda tukusokomeze mwiko wa mbarali mpka akili ikukae sawa
 
Usisahau wamekuja na mapipa yao
 
halafu tutachat na nani kama hivi yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…