Visingizio tumewaachia "Al hilal"!ππππMsije kuleta visingizio baadae
Azam mwenye sura mbilimbili.Mimi mwenyewe ni member wa Club Africaine tangu wiki jana!ππππMimi azam sasa ndo ubaya
Ww kama unaamini mtashinda just let it be,na mm naamini tutashinda baaasi. Maswala ya vipochi manyoya hayana tija.Tubet kama unajiamini weka ata kipochi