FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.[emoji3516]
Mimi kama mwanachama na shabiki lia lia wa Azam FC na kwa kikosi nilichonacho kilichojaa vipaji, hakika nitasoneneka mno kwa Simba hii yenye wachezaji wa kawaida ikipata sare na sisi.
Ombi, refa achezeshe kwa haki mambo ya kubeba wakubwa kama mlivyombeba Yanga mechi na Azam yanadumaza soka.
Azam hatuna ujinga wa kuhonga marefa tupate ubingwa, ila uwezo wa kuwafunga hawa mapacha wa Karikoo walishindwa ata kumiliki viwanja tunaweza.
GO AZAM, TEAM BORA BIDHAA BORA.