Simba ana kikosi cha kawaida mno kwa Azam

Mtu na dada yake hao,na kama kawaida dada mtu atapewa point3,kama sio huo undugu basi mikia mapema sana wangekufa
Ungemuona boss yusuph alivyokuwa mkali jana usingesema
 
Unasema wewe ni shabiki wa Azam halafu unasema una kikosi chako. Kama kikosi ni chako tuambie umeshatumia gharama kiasi gani kukitengeneza mpaka hapa kilipofika?
 
Mtu na dada yake wanajuana hao,so dogo hawezi kumkazia dada yake.
 
Azam pigeni hiyo mikia goli khamsa bin sufri
 
Tu

Tupo saaanaa sisi hizi mechi za ndani tukifungwa ni kama tumefunga na tukifunga tumefunga
Ushaanz kutafuta kichaka mandonga[emoji16][emoji3516]
 
Unasema wewe ni shabiki wa Azam halafu unasema una kikosi chako. Kama kikosi ni chako tuambie umeshatumia gharama kiasi gani kukitengeneza mpaka hapa kilipofika?
Mbona swali lako halieleweki na ni la kipumbavu?

Form four ulipata division ngapi?

Isije kuwa naongea na mtu wa GPA
 
Mandonga mtu kazi. Ila Azam anaifungaje Simba kwa mfano kama Yanga tuu inashangilia droo
Hao yanga wako kwangu pia walishangalia draw au umesahau
 
Iwapo Azam Fc watacheza mchezo kama ule waliocheza na Yanga, basi kuna kila dalili ya simba kufungwa!

Mbaya zaidi kwa sasa timu ipo chini ya kocha wa muda Kalimangonga Ongala! Huyu jamaa siyo mzuri hata kidogo ukimpa kazi ya ukocha mkuu wa muda kwenye timu.

Maana ana hamasa ya kipekee.
 
Ana jua ball anaweza mwambia ata mchezaji ivyo unavyofanya mm nmefanya mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…