Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Unaongea kitaalamu au kishabiki au kwa historia ya simba kufungwa mechi nyingi za kimataifa nyumbani toka 2015???Anapigwa Nyumbani kwake Simba na anaenda kupigwa Morocco. Sioni hata Draw kwa Simba. Sioni. Simba kesho Jumamosi atakachoshinda ni Njaa tu.
Mimi naelezea kutokana na Ubovu wa Simba na Ubora wa Raja Maftaaah Casablanca. Sheikh hawa watu nawafahamu... Huwa wanafumua mishono. Wanatatua kila kitu.
NIMEKAA HAPA HAPA. NAWAAMBIA HAPA HAPA. SIMBA HII MBOVU HAIWEZI SHINDA MATCH. ITASHINDA NJAA.
Badala ya kutokwa povu, ungeweka tu mzigo kwenye betting ili upate faida mara mbili; ya Simba kuchapwa na ya kupata helaNIMEKAA HAPA HAPA. NAWAAMBIA HAPA HAPA. SIMBA HII MBOVU HAIWEZI SHINDA MATCH. ITASHINDA NJAA.
Siuseme uitwe nani? Joyce mbinuko ama utamu burebure?Anapigwa Nyumbani kwake Simba na anaenda kupigwa Morocco. Sioni hata Draw kwa Simba. Sioni. Simba kesho Jumamosi atakachoshinda ni Njaa tu.
Mimi naelezea kutokana na Ubovu wa Simba na Ubora wa Raja Maftaaah Casablanca. Sheikh hawa watu nawafahamu... Huwa wanafumua mishono. Wanatatua kila kitu.
NIMEKAA HAPA HAPA. NAWAAMBIA HAPA HAPA. SIMBA HII MBOVU HAIWEZI SHINDA MATCH. ITASHINDA NJAA.
Tunakujua wewe ni shabeki wa tp mazembeMkuu ilo linajulikana mbona. Sisi mashabiki wa Raja tunasema liwake jua inyeshe Mvua lazima tuwatoboe za kutosha hawa simba
Au tumuite chausiku ma UTISiuseme uitwe nani? Joyce mbinuko ama utamu burebure?
Sawa Simba anapigwa, Kuna haja gani ya kumuacha mumeo chumbani na kwenda sebleni kuanziaha Uzi?Anapigwa Nyumbani kwake Simba na anaenda kupigwa Morocco. Sioni hata Draw kwa Simba. Sioni. Simba kesho Jumamosi atakachoshinda ni Njaa tu.
Mimi naelezea kutokana na Ubovu wa Simba na Ubora wa Raja Maftaaah Casablanca. Sheikh hawa watu nawafahamu... Huwa wanafumua mishono. Wanatatua kila kitu.
NIMEKAA HAPA HAPA. NAWAAMBIA HAPA HAPA. SIMBA HII MBOVU HAIWEZI SHINDA MATCH. ITASHINDA NJAA.
Kwani Raja alimchapa ngapi TP Mazembe?Unaongea kitaalamu au kishabiki au kwa historia ya simba kufungwa mechi nyingi za kimataifa nyumbani toka 2015???
Tunazungumzia simbaKwani Raja alimchapa ngapi TP Mazembe?
Haikatazi kuzungumzia wengine..!! Historia ya TP Mazembe ndiyo itakayowanyanyasa SImba kisaikolojiaTunazungumzia simba
Mpira si sawa na hesabu za DIRECTLY PROPORTIONAL na INVERSELY PROPORTIONALHata mtoto mdogo ana jibu! Mtu aje nyumbani kwako na akuchape, ukienda kwake si atakuchinja?
sema t simba ikishinda tuku.....au bas tupo liveAnapigwa Nyumbani kwake Simba na anaenda kupigwa Morocco. Sioni hata Draw kwa Simba. Sioni. Simba kesho Jumamosi atakachoshinda ni Njaa tu.
Mimi naelezea kutokana na Ubovu wa Simba na Ubora wa Raja Maftaaah Casablanca. Sheikh hawa watu nawafahamu... Huwa wanafumua mishono. Wanatatua kila kitu.
NIMEKAA HAPA HAPA. NAWAAMBIA HAPA HAPA. SIMBA HII MBOVU HAIWEZI SHINDA MATCH. ITASHINDA NJAA.
Tusubiri tuone uwanjaniHaikatazi kuzungumzia wengine..!! Historia ya TP Mazembe ndiyo itakayowanyanyasa SImba kisaikolojia
Ma UTI Yupo yule miss wao! Huyu tumtaftie jina zuri lenyekuendana na shepu yake.Au tumuite chausiku ma UTI