Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Haitokaa itokee. Nafasi ya pili ni yetu, hawa watachukua uongozi wa kundi lakini taifa sharti wafe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haitokaa itokee. Nafasi ya pili ni yetu, hawa watachukua uongozi wa kundi lakini taifa sharti wafe
Sawa Simba anapigwa, Kuna haja gani ya kumuacha mumeo chumbani na kwenda sebleni kuanziaha Uzi?
Ooh! Yangu macho Mtani. 🤣🤣Haitokaa itokee. Nafasi ya pili ni yetu, hawa watachukua uongozi wa kundi lakini taifa sharti wafe
Simba mnaota mchanaKumbe ukishiba makande yaliyojaa maharage ndo unaandikaga upupu hivi ...kiufupi umeandika kiushabiki na haujui kuchambua mpira nahisi muda si mrefu utaanz kupunguza hewa tumboni
Mnaota sanaAlikufa al ahly akafa nkana akafa plateau United huyo raja yeye nani asife taifa nasemaje Sevilla wenyewe waliponea chup chup tuwapige
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Anapigwa Nyumbani kwake Simba na anaenda kupigwa Morocco. Sioni hata Draw kwa Simba. Sioni. Simba kesho Jumamosi atakachoshinda ni Njaa tu.
Mimi naelezea kutokana na Ubovu wa Simba na Ubora wa Raja Maftaaah Casablanca. Sheikh hawa watu nawafahamu... Huwa wanafumua mishono. Wanatatua kila kitu.
NIMEKAA HAPA HAPA. NAWAAMBIA HAPA HAPA. SIMBA HII MBOVU HAIWEZI SHINDA MATCH. ITASHINDA NJAA.
Bado saa moja tule tendeOoh! Yangu macho Mtani. 🤣🤣
Asante kwa ku share nasi
Umedanganya... Hujui vita ya ghuba ilikuaje. Lini Saddam Hussein aliwashinda Usa? Kuna uongo mwingine watu wanakugundua kirahisi tu.
Wewe ni single mother imetokea nimekupenda.
Nakuta mwanao wa kiume hana nidhamu na hajalelewa kiume amelegea na mideko mingi, nakusaidia kumlea kwa kukupa ushauri. Unaniambia siwezi kujua mtoto analelewaje.
Haya unaniambia nikope pesa ili ufanye biashara uongeze mtaji nakwambia subiri mwaka wa bajeti uanze. Unasema sijakupa thamani ndio maana sioni sababu ya kukusaidia.
Unaamua kuninunia na kuniambia nijitathmini kama nakuhitaji nifanye mambo hayo ili uamini. Umeamua kuniadhibu kisa nimekupenda? Sawa, namimi natafuta njia mbadala ila utaja kumbuka.
Unaongea kitaalamu au kishabiki au kwa historia ya simba kufungwa mechi nyingi za kimataifa nyumbani toka 2015???
Siuseme uitwe nani? Joyce mbinuko ama utamu burebure?
Au tumuite chausiku ma UTI
sema t simba ikishinda tuku.....au bas tupo live
Ma UTI Yupo yule miss wao! Huyu tumtaftie jina zuri lenyekuendana na shepu yake.
Kumbe ukishiba makande yaliyojaa maharage ndo unaandikaga upupu hivi ...kiufupi umeandika kiushabiki na haujui kuchambua mpira nahisi muda si mrefu utaanz kupunguza hewa tumboni
Akishinda tukuite Tatu magono au?
Haya kachambe ulale sasa
Alikufa al ahly akafa nkana akafa plateau United huyo raja yeye nani asife taifa nasemaje Sevilla wenyewe waliponea chup chup tuwapige
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Utopolo mmeanza kujitisha wenyewe na mnatishika, Simba hizi kazi tumeshazizoea.
Mwarabu tunamchakaza, Simba ndo kiboko ya Waarabu kwa ukanda wa kati,mashariki na kusini mwa Afrika.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Unaongea kitaalamu au kishabiki au kwa historia ya simba kufungwa mechi nyingi za kimataifa nyumbani toka 2015???
Hao wote ulowatag ni mashabiki oyaoya hawajui lolote kuhusu mpira wao ni kama kondoo tu wakiambiwa zomea wanazomeaMbwa nyieeee....eti mumfunge Raja hapa Taifa. Mbwa koko kabisa....