Simba anachapwa Taifa na anaenda Kuchapwa tena Morocco

Simba anachapwa Taifa na anaenda Kuchapwa tena Morocco

Ukichapwa nyumbani Kuna swali la kuuliza kweli, ni kwenda tu kuchapwa nyumbani kwake na ameweka fensi huna pa kukimbilia ni kuchapwa tu!!!
 
Anapigwa Nyumbani kwake Simba na anaenda kupigwa Morocco. Sioni hata Draw kwa Simba. Sioni. Simba kesho Jumamosi atakachoshinda ni Njaa tu.

Mimi naelezea kutokana na Ubovu wa Simba na Ubora wa Raja Maftaaah Casablanca. Sheikh hawa watu nawafahamu... Huwa wanafumua mishono. Wanatatua kila kitu.

NIMEKAA HAPA HAPA. NAWAAMBIA HAPA HAPA. SIMBA HII MBOVU HAIWEZI SHINDA MATCH. ITASHINDA NJAA.
Haya kachambe ulale sasa
 
Alikufa al ahly akafa nkana akafa plateau United huyo raja yeye nani asife taifa nasemaje Sevilla wenyewe waliponea chup chup tuwapige

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Huo ndo ukweli ambao wengi hawamtaki kuukubali
 
Utopolo mmeanza kujitisha wenyewe na mnatishika, Simba hizi kazi tumeshazizoea.
 
Anapigwa Nyumbani kwake Simba na anaenda kupigwa Morocco. Sioni hata Draw kwa Simba. Sioni. Simba kesho Jumamosi atakachoshinda ni Njaa tu.

Mimi naelezea kutokana na Ubovu wa Simba na Ubora wa Raja Maftaaah Casablanca. Sheikh hawa watu nawafahamu... Huwa wanafumua mishono. Wanatatua kila kitu.

NIMEKAA HAPA HAPA. NAWAAMBIA HAPA HAPA. SIMBA HII MBOVU HAIWEZI SHINDA MATCH. ITASHINDA NJAA.
simba mbovu ipo ligi ya mabingwa lakini timu wanayoisema nzuri ipo kombe la loser 😄😄😄😄 haya ni maajabu
 
Subiria dakika tisini mkuu. Kila kitu kitajulikana hapo hapo.
 
Mwarabu tunamchakaza, Simba ndo kiboko ya Waarabu kwa ukanda wa kati,mashariki na kusini mwa Afrika.
Hehehee!

Kesho unitag nije kuona vile mnamchakaza huyo mwarabu.
 
Back
Top Bottom