Simba anachapwa Taifa na anaenda Kuchapwa tena Morocco

Me katika hili naziombea Timu zote zishinde,, huu sio wakati wa makundi japo najua kwa nature ya hizi Timu na Mashabiki wake Huwa haliwezekani
 

Sawa Mungu; mgawa Riziki
 
Yanga kwa nini mna roho mbaya hivi mwaka jana kazi yenu ilikuwa kupokea wageni.Mwaka huu badala ya kuombea dua nchi mnajiloga wenyewe Amen
 
Wadau leo mmelala na viatu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Muache kuwa mnalishana ujinga. Mimi nlikuwa najua hili toka mwanzo.
Asante kwa ku share nasi

Umedanganya... Hujui vita ya ghuba ilikuaje. Lini Saddam Hussein aliwashinda Usa? Kuna uongo mwingine watu wanakugundua kirahisi tu.


Unaongea kitaalamu au kishabiki au kwa historia ya simba kufungwa mechi nyingi za kimataifa nyumbani toka 2015???

Siuseme uitwe nani? Joyce mbinuko ama utamu burebure?

Au tumuite chausiku ma UTI

sema t simba ikishinda tuku.....au bas tupo live

Ma UTI Yupo yule miss wao! Huyu tumtaftie jina zuri lenyekuendana na shepu yake.

Kumbe ukishiba makande yaliyojaa maharage ndo unaandikaga upupu hivi ...kiufupi umeandika kiushabiki na haujui kuchambua mpira nahisi muda si mrefu utaanz kupunguza hewa tumboni
 
Mbwa nyieeee....eti mumfunge Raja hapa Taifa. Mbwa koko kabisa....
Akishinda tukuite Tatu magono au?

Haya kachambe ulale sasa

Alikufa al ahly akafa nkana akafa plateau United huyo raja yeye nani asife taifa nasemaje Sevilla wenyewe waliponea chup chup tuwapige

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app

Utopolo mmeanza kujitisha wenyewe na mnatishika, Simba hizi kazi tumeshazizoea.

Mwarabu tunamchakaza, Simba ndo kiboko ya Waarabu kwa ukanda wa kati,mashariki na kusini mwa Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…