Simba anachapwa Taifa na anaenda Kuchapwa tena Morocco

Simba ni timu ninayoiamini sana kwenye michezo ya kimataifa ingawa siishabikii. Hata hivyo wamenikatisha tamaa sana kwa kukubali kuchezea kichapo cha mbwa koko wakiwa nyumbani Lupaso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…