Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Mwaka 1969 na Mwaka 1970 Dare es salaam Young Africans iliweka REKODI ya kuwa timu ya kwanza kucheza robo fainali mara mbili mfululizo yaani convectively 69 na 70 mara zote hizo alikutana na Asante Kotoko ya Ghana. Simba katika papatu papatu zake za robo fainali ambazo nyingi ni za msimu wa korona hawajawahi kufuzu mara mbili mfululizo.
Mwaka 2019 Simba waliingia robo fainali mwaka uliofutia 2020 wakatolewa na UD Songo bila kufika makundi. Wakaja wakafuzu Tena 2021 wakacheza robo fainali na kaizer chiefs lakini msimu uliofuatia 2022 wakapasuka na Jwaneng Galaxy na kuangukia kombe la luza. Msimu uliofuatia 2023 wakafuzu na kucheza robo fainali na Wydad na msimu huu tunasikilizia kama wataivunja REKODI ya Yanga