Hiyo ni tag tu wanaiweka katika post zote. Post yenyewe ni "๐น๐ฟ @YoungAfricansSC to the knockouts for the first time in their history!"Wamesema cafcl maana yake caf champions league,ni mashindano yaliyoanza 2003
Na hiiWamesema cafcl maana yake caf champions league,ni mashindano yaliyoanza 2003
Sisi tunaongea kwa ushahidi sio porojo za kispikaSiyo walichosema....
Kwani huo hapo juu siyo ushahidi? Nyie si ndiyo mlikuwa mnatumia twiti hizo hizo za CAF kusema Simba hawajawahi kucheza fainali ya CAF. Kama picha za magazeti hata za Simba zilipostiwa wachezaji wamevaa medali ila bado haikumaliza ubishi wenu. Mkuki kwa nguruwe.....Na hii
Sisi tunaongea kwa ushahidi sio porojo za kispika
Kweli wewe mbumbumbu,kipindi hicho cha Simba anaingia fainali kulikuwa na mshindano matatu ya CAF;Kumbe linapokuja swala la Yanga Sc inakuwa sio ABIOLA CUP tena? Mimi niliamini maneno yenu kuwa miaka hiyo hakukuwa na champions league bali ni ABIOLA CUP.
Abiola cup alicheza simbaKumbe linapokuja swala la Yanga Sc inakuwa sio ABIOLA CUP tena? Mimi niliamini maneno yenu kuwa miaka hiyo hakukuwa na champions league bali ni ABIOLA CUP.
Tabu shule hawa vijana.Tangu mashindano yalipobadilishwa jina
3. Kombe la CAF Cup ambalo hili lilianzishwa na mwanasiasa mashuhuri nchini Nigeria Mashud Abiola ambapo Tanzania iliwakilishwa na Simba,na Stella Adbjan akawa Bingwa. Abiola alipouawa na kombe likafa.
Kaeni chini mkubaliane kwanza mliiteje CAF Cup au Abiola Cup naona mnajichanganya wenyeweAbiola cup alicheza simba
Unajiona ulivyo bumunda lakini? Ujinga ukichanganyika na hali ya kujiamini matokeo yake ndio haya.Kweli wewe mbumbumbu,kipindi hicho cha Simba anaingia fainali kulikuwa na mshindano matatu ya CAF;
1. Champions Cup ambapo hii ndio Club Bingwa ya sasa,Tanzania iliwakilishwa na Malindi ambae ndie aliekuwa Bingwa wa Kombe la Muungano. Fainali ilichezwa kati ya Asante Kotoko ya Ghana vs Zamalek,Zamalek akawa Bingwa.
2. Kombe la Washindi Barani Africa,ambapo ndio Kombe la Shikirikisho kwasasa,Tanzania iliwakilishwa na Pamba ya Mwanza baada ya kuwa Bingwa wa FA Cup ambayo ilikuwa inaitwa Nyerere Cup kipindi hicho,fainali ilichezwa kati ya African Sports vs Al Ahly ya Misri,Bingwa akawa Ahly.
3. Kombe la CAF Cup ambalo hili lilianzishwa na mwanasiasa mashuhuri nchini Nigeria Mashud Abiola ambapo Tanzania iliwakilishwa na Simba,na Stella Adbjan akawa Bingwa. Abiola alipouawa na kombe likafa.
Hawa jamaa akili zao ziko nyuma, kama ilivyo kauli mbiu ya team yao.Kaeni chini mkubaliane kwanza mliiteje CAF Cup au Abiola Cup naona mnatuchanganya
Wanayakejeli mashindano yaliyofanyika kwa miaka 10 ambayo wenyewe wameshawahi kushiriki zaidi ya mara moja na mara zote kutupwa raundi ya kwanza halafu wanamkejeli aliyefika fainali.Hawa jamaa akili zao ziko nyuma, kama ilivyo kauli mbiu ya team yao.