Simba anaweza akamtoa Plateau united

Smt016

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
3,012
Reaction score
4,300
Kuelekea mpambano wa klabu bingwa Africa hatua ya awali, kwa upande wangu naona Kuna kila dalili ya Simba kufanikiwa kumtoa Plateau United ya Nigeria. Ikumbukwe kuwa kwanzia janga la corona litikise, michezo mingi ilisimamishwa na hiyo ni pamoja na ligi ya Nigeria pia ilisimama.

Na mpaka sasa timu ya Plateau haijacheza mchezo wowote wa kimashindano ukizingatia ya kwamba ligi ya Nigeria pia bado haijaanza. Tofauti na Simba ambayo imecheza michezo mingi ya kirafiki na kimashindano (ligi kuu bara)

Hivyo nawapa Simba nafasi ya kufuzu kwasababu wana match fitness tofauti na timu ya Plateau united.
 
Ni kweli kabisa
 
Wachezaji wakijituma watashinda. Wakicheza kizembe watakula pira yams huko Nigeria.
 
Plateau wanafungaga 79-0, Simba ijiandae kupigwa popo kanyea mbingu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…