Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Kuelekea mpambano wa klabu bingwa Africa hatua ya awali, kwa upande wangu naona Kuna kila dalili ya Simba kufanikiwa kumtoa Plateau United ya Nigeria. Ikumbukwe kuwa kwanzia janga la corona litikise, michezo mingi ilisimamishwa na hiyo ni pamoja na ligi ya Nigeria pia ilisimama.
Na mpaka sasa timu ya Plateau haijacheza mchezo wowote wa kimashindano ukizingatia ya kwamba ligi ya Nigeria pia bado haijaanza. Tofauti na Simba ambayo imecheza michezo mingi ya kirafiki na kimashindano (ligi kuu bara)
Hivyo nawapa Simba nafasi ya kufuzu kwasababu wana match fitness tofauti na timu ya Plateau united.