Vijana mnaosihi Kwa mashemeji zenu mnasumbuwa sana na kelele zenu Kila mda mnaanzisha nyuzi zisizo na maana yoyote sababu mnakaa bure na kulala sebuleni kama TVKwa kweli Simba naiona ikipindua meza na kuwatoa Al Ahly na kutinga nusu fainali.
Simba ndiyo timu inayojua kufanya maajabu, Benchika aangae wapiga penalt mahiri maana Simba anaweka moja la haraka kuweka level sawa kisha ana paki basi kusimamia draw hadi mwisho.
Kisha penalt Ayub anawaduwaza kupangua mbili na kazi kwa wafungaji.
Hatujasahau walivyo wastajabisha Mufulira mbele ya Kaunda!
Simba nguvu moja!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
We ni mpuuzi kweli kweli!Vijana mnaosihi Kwa mashemeji zenu mnasumbuwa sana na kelele zenu Kila mda mnaanzisha nyuzi zisizo na maana yoyote sababu mnakaa bure na kulala sebuleni kama TV
Never on earthKwa kweli Simba naiona ikipindua meza na kuwatoa Al Ahly na kutinga nusu fainali.
Simba ndiyo timu inayojua kufanya maajabu, Benchika aangae wapiga penalt mahiri maana Simba anaweka moja la haraka kuweka level sawa kisha ana paki basi kusimamia draw hadi mwisho.
Kisha penalt Ayub anawaduwaza kupangua mbili na kazi kwa wafungaji.
Hatujasahau walivyo wastajabisha Mufulira mbele ya Kaunda!
Simba nguvu moja!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Thats is an history, na mara nyingi historia haijirudiiKwa kweli Simba naiona ikipindua meza na kuwatoa Al Ahly na kutinga nusu fainali.
Simba ndiyo timu inayojua kufanya maajabu, Benchika aangae wapiga penalt mahiri maana Simba anaweka moja la haraka kuweka level sawa kisha ana paki basi kusimamia draw hadi mwisho.
Kisha penalt Ayub anawaduwaza kupangua mbili na kazi kwa wafungaji.
Hatujasahau walivyo wastajabisha Mufulira mbele ya Kaunda!
Simba nguvu moja!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mwaka 2003 mechi ya Darisalama Simba iliifunga Zamalek goli moja, waliporudiana Cairo Simba inafungwa goli moja ndio wakaenda kwenye matuta Kaseja akaibeba Simba.Kwa kweli Simba naiona ikipindua meza na kuwatoa Al Ahly na kutinga nusu fainali.
Simba ndiyo timu inayojua kufanya maajabu, Benchika aangae wapiga penalt mahiri maana Simba anaweka moja la haraka kuweka level sawa kisha ana paki basi kusimamia draw hadi mwisho.
Kisha penalt Ayub anawaduwaza kupangua mbili na kazi kwa wafungaji.
Hatujasahau walivyo wastajabisha Mufulira mbele ya Kaunda!
Simba nguvu moja!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
tema mate chini ....Shughuli yetu iliishia Benjamin Mkapa,tujipange kwa msimu ujao hatuna wachezaji wa kuleta matokeo.
Kwahiyo haiwezekani mtu kukaa kwa shemeji yake kwa miaka 20 huku ananunuliwa bando?We ni mpuuzi kweli kweli!
Watu tupo JF toka inaanzishwa nearly 20 years back wewe ukiwa hujui matumizi ya mtandao leo unasema tunaishi kwa mashemeji?
Usikute unatukana baba yako wa kambo!
Muulize bi mkubwa wako jee unamfahamu Chakaza usije kuta akakupa ukweli dogo!
Au nilivyokutajia Mufulira Wanderous ya Zambia ndio nimekuchanganya?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Muhasibu OKW BOBAN SUNZU anasemaje?Kwa kweli Simba naiona ikipindua meza na kuwatoa Al Ahly na kutinga nusu fainali.