Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Kwa kweli Simba naiona ikipindua meza na kuwatoa Al Ahly na kutinga nusu fainali.
Simba ndiyo timu inayojua kufanya maajabu, Benchika aangae wapiga penalt mahiri maana Simba anaweka moja la haraka kuweka level sawa kisha ana paki basi kusimamia draw hadi mwisho.
Kisha penalt Ayub anawaduwaza kupangua mbili na kazi kwa wafungaji.
Hatujasahau walivyo wastajabisha Mufulira mbele ya Kaunda!
Simba nguvu moja!