Simba andaeni wapiga penati 5 mahiri, nusu fainali hiyo!

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Kwa kweli Simba naiona ikipindua meza na kuwatoa Al Ahly na kutinga nusu fainali.

Simba ndiyo timu inayojua kufanya maajabu, Benchika aangae wapiga penalt mahiri maana Simba anaweka moja la haraka kuweka level sawa kisha ana paki basi kusimamia draw hadi mwisho.

Kisha penalt Ayub anawaduwaza kupangua mbili na kazi kwa wafungaji.
Hatujasahau walivyo wastajabisha Mufulira mbele ya Kaunda!
Simba nguvu moja!
 
Mufulira sio!
Ahly wana hamasa kubwa sana baada ya kukosa mabilioni ya AFL Simba atafungwa Cairo ila sio magoli mengi ni 3 tu
Huu ushauri ipe Yanga Mamelody kwao wanazuilika vizuri sema shida iko kwa yanga kupata goli na vile afrika huwa hakuna extra time basi game itaenda matuta hapo ndio mtihani ulipo
 
Kwa kweli Simba naiona ikipindua meza na kuwatoa Al Ahly na kutinga nusu fainali.
Simba ndiyo timu inayojua kufanya maajabu, Benchika aangae wapiga penalt mahiri maana Simba anaweka moja la haraka kuweka level sawa kisha ana paki basi kusimamia draw hadi mwisho.
Kisha penalt Ayub anawaduwaza kupangua mbili na kazi kwa wafungaji.
Hatujasahau walivyo wastajabisha Mufulira mbele ya Kaunda!
Simba nguvu moja!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Vijana mnaosihi Kwa mashemeji zenu mnasumbuwa sana na kelele zenu Kila mda mnaanzisha nyuzi zisizo na maana yoyote sababu mnakaa bure na kulala sebuleni kama TV
 
We ni mpuuzi kweli kweli!
Watu tupo JF toka inaanzishwa nearly 20 years back wewe ukiwa hujui matumizi ya mtandao leo unasema tunaishi kwa mashemeji?
Usikute unatukana baba yako wa kambo!
Muulize bi mkubwa wako jee unamfahamu Chakaza usije kuta akakupa ukweli dogo!
Au nilivyokutajia Mufulira Wanderous ya Zambia ndio nimekuchanganya?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli Simba naiona ikipindua meza na kuwatoa Al Ahly na kutinga nusu fainali.
Simba ndiyo timu inayojua kufanya maajabu, Benchika aangae wapiga penalt mahiri maana Simba anaweka moja la haraka kuweka level sawa kisha ana paki basi kusimamia draw hadi mwisho.
Kisha penalt Ayub anawaduwaza kupangua mbili na kazi kwa wafungaji.
Hatujasahau walivyo wastajabisha Mufulira mbele ya Kaunda!
Simba nguvu moja!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Never on earth
 
Thats is an history, na mara nyingi historia haijirudii
 
Kwa kweli Simba naiona ikipindua meza na kuwatoa Al Ahly na kutinga nusu fainali.
Simba ndiyo timu inayojua kufanya maajabu, Benchika aangae wapiga penalt mahiri maana Simba anaweka moja la haraka kuweka level sawa kisha ana paki basi kusimamia draw hadi mwisho.
Kisha penalt Ayub anawaduwaza kupangua mbili na kazi kwa wafungaji.
Hatujasahau walivyo wastajabisha Mufulira mbele ya Kaunda!
Simba nguvu moja!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mwaka 2003 mechi ya Darisalama Simba iliifunga Zamalek goli moja, waliporudiana Cairo Simba inafungwa goli moja ndio wakaenda kwenye matuta Kaseja akaibeba Simba.

Umeiona tofauti hapo?
 
We ni mpuuzi kweli kweli!
Watu tupo JF toka inaanzishwa nearly 20 years back wewe ukiwa hujui matumizi ya mtandao leo unasema tunaishi kwa mashemeji?
Usikute unatukana baba yako wa kambo!
Muulize bi mkubwa wako jee unamfahamu Chakaza usije kuta akakupa ukweli dogo!
Au nilivyokutajia Mufulira Wanderous ya Zambia ndio nimekuchanganya?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo haiwezekani mtu kukaa kwa shemeji yake kwa miaka 20 huku ananunuliwa bando?
 
Makolo bhana ukapindie meza Kwa mwarabu? Wakati wewe umeshidwa kupindua kwako acheni kujazwa mavi kichawi na Ahmed ally.
 
Hakuna kitu mzee, tunaenda kukamilisha ratiba tu ya kucheza mechi turudi tanzania kuendelea na NBC
 
Kwa hiyo midfielder ndio mkapaki basi?
Labda kama huyo beki mwenye ras atasogea mbele sasa sijui huyo Mkologo aaah!samahani Mkongo atabaki na nani hapo nyuma.
 
Kwa kweli Simba naiona ikipindua meza na kuwatoa Al Ahly na kutinga nusu fainali.

Simba ndiyo timu inayojua kufanya maajabu, Benchika aangae wapiga penalt mahiri maana Simba anaweka moja la haraka kuweka level sawa kisha ana paki basi kusimamia draw hadi mwisho.

Kisha penalt Ayub anawaduwaza kupangua mbili na kazi kwa wafungaji.
Hatujasahau walivyo wastajabisha Mufulira mbele ya Kaunda!
Simba nguvu moja!
Muhasibu OKW BOBAN SUNZU anasemaje?
 
Back
Top Bottom