Simba angekandwa hata 7_ 0 na Marumo gallants

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Uchambuzi

Kwa mpira niliouna Jana Kwa marumo gallants kama wangecheza na Simba (Makolo) basi taifa lingepata aibu kubwa mno Kwa sababu zifuatazo

Spidi ya marumo gallants ni kubwa mno Kwa wachezaji wa Simba ukichanganya na umri mkubwa walionao makolo ....Kwan marumo ywanacheza counter plus mipira ya kuvizia ambayo ni hatari Kwa Makolo

Pili ni kuwa Simba hawana uzoefu wa kucheza michuano kwenye ngazi ya nusu fainaliy

NB.Kwa vigezo hivi Simba wangekandwa 7 _0
 
Simba hiyo hiyo ikaikanda 2-0 timu iliyoikanda Marumo 2-0.
 
Mkuu naona unaleta Utani na Mtani [emoji2957]
 
Simba hiyo hiyo ikaikanda 2-0 timu iliyoikanda Marumo 2-0.
Unafikiri wanajielewa basi[emoji23][emoji23]wakishavimbiwa mihogo huko wanakuja kjambajamba humu bila mpangilio
 
Ila simba kamkanda 2 chura acha bangi
 

Attachments

  • Screenshot_20230102-173149_WhatsApp.jpg
    178.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230116-112708_WhatsApp.jpg
    106.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20230204-130909_Google.jpg
    181.7 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…