Simba angekandwa hata 7_ 0 na Marumo gallants

Simba angekandwa hata 7_ 0 na Marumo gallants

Hata yanga kumfunga galants ni bahati tu, ushindi wa halali walioupata yanga ilikuwa dhidi ya zalan tu
Hapana mkuu.....huku nusu final hakuna bahati ....That's y mlikandwa na kutolewa mapema....kumbuka Kuna VAR
 
Vikosi vya malumo na Yanga nivyakucheza kombe la shirikisho lakini siyo klabu bingwa. Na ndiyo Maana Yanga huku klabu bingwa alifuruhushwa mapema tu na kurudi wanakostahili
Lkn Simba walipita Kwa bahati.... Baada ya kukutana na wabovu
..
.. that's y walibanduliwa robo fainali
 
Back
Top Bottom