Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kwa Simba hii na Yanga hii, walipokutana matokeo yalikuwaje? Tuanzie hapo 😁Kwa upande wa ndugu zetu wanamsimbazi kama ndo wangekutana na Al mereikh Kwa mchezo waliocheza Jana......basi wangekutana na na kichapo Cha kutisha
Hivi si ni wewe uliahidi kutoa tigo Simba isipofungwa 3-0 ?Kibu anaotea mechi .....
kwa niaba ya utopoloBila kusahau
...USM Alger lampiga Al ahly
Wakimbizi ambao hawana hata ligi?Uchambuzi wangu Leo
Kwa michezo tuliyopata kuishudia siku ya Jana Kwa kweli soka la bongo limekua Kwa kiasi kikubwa timu zinacheza Kwa kujiamini Hadi ugenini
Kwa upande wa ndugu zetu wanamsimbazi kama ndo wangekutana na Al mereikh Kwa mchezo waliocheza Jana......basi wangekutana na na kichapo Cha kutisha
Coz Al mereikh walikuwa wanacheza Kwa spidi japo viungo wa Yanga walidhibiti pale katikati kitu ambacho ingekuwa Simba basi tungeshudia Simba wakikandwa magoli ya kutosha
NB: unadhani Simba wangekula ngapi wangekipiga na Al mereikh???View attachment 2752121
hapana sio kweliUchambuzi wangu Leo

Nimebold neno USHINDI 😁Ushindi wa Matuta
Miamba ya Sudan kwasasa ni Gen.Hamdan Dagalo na Gen.Hemidti.Kumbuka wale ni miamba wa Sudan