Simba angekandwa vibaya na Al mereikh

Simba angekandwa vibaya na Al mereikh

Kwa upande wa ndugu zetu wanamsimbazi kama ndo wangekutana na Al mereikh Kwa mchezo waliocheza Jana......basi wangekutana na na kichapo Cha kutisha
Kwani kwa Simba hii na Yanga hii, walipokutana matokeo yalikuwaje? Tuanzie hapo 😁
 
Ifuatayo ni timu zisizo wakimbizi zilizofungwa na Yanga nyumbani kwao
1) Club Africain
2) Rivers united
3) Marumo
4) Tp Mazembe
5) USM Alger
Bila kusahau
...USM Alger kampiga Al ahly
 
Uchambuzi wangu Leo

Kwa michezo tuliyopata kuishudia siku ya Jana Kwa kweli soka la bongo limekua Kwa kiasi kikubwa timu zinacheza Kwa kujiamini Hadi ugenini

Kwa upande wa ndugu zetu wanamsimbazi kama ndo wangekutana na Al mereikh Kwa mchezo waliocheza Jana......basi wangekutana na na kichapo Cha kutisha

Coz Al mereikh walikuwa wanacheza Kwa spidi japo viungo wa Yanga walidhibiti pale katikati kitu ambacho ingekuwa Simba basi tungeshudia Simba wakikandwa magoli ya kutosha

NB: unadhani Simba wangekula ngapi wangekipiga na Al mereikh???View attachment 2752121
Wakimbizi ambao hawana hata ligi?
 
hapana sio kweli
 
Back
Top Bottom