Simba apewa point zake 3 dhidi ya Kagera sugar

Simba apewa point zake 3 dhidi ya Kagera sugar

Status
Not open for further replies.
Mkemi nenda mahakamani na naskia una hamasisha timu zigome kucheza ligi kuu pole sana
 
Mtoa post acha ubashite wewe hicho kikao uchwara kinakaa saa tisa n mjumbe mmoja amejitoa
 
1492083144968.png
 
Mtoa post acha ubashite wewe hicho kikao uchwara kinakaa saa tisa n mjumbe mmoja amejitoa
Yote sawa tusubiri matokeo.Nionavyo Simba akipewa hizo pt 3...Yanga watazuwa balaa na wakinyimwa hizo pt 3 Simba watazuwa balaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom