huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
Mtoa post acha ubashite wewe hicho kikao uchwara kinakaa saa tisa n mjumbe mmoja amejitoa
Huyu hata mie simwamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa post acha ubashite wewe hicho kikao uchwara kinakaa saa tisa n mjumbe mmoja amejitoa
Kwa nn amejitoa?Mtoa post acha ubashite wewe hicho kikao uchwara kinakaa saa tisa n mjumbe mmoja amejitoa
Kwa hiyo droo itawafaa pande zote[emoji23]Yote sawa tusubiri matokeo.Nionavyo Simba akipewa hizo pt 3...Yanga watazuwa balaa na wakinyimwa hizo pt 3 Simba watazuwa balaa.
Kwahiyo wasipofuata kanuni ndio litaendelea? Mtu akiwa na kadi 3 achezeshwe watu wakae kimya tu.Kwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.
WOYOOOOOOOOOOOO, SIMBA CHAMA LA WANA HATUNA MPINZANI LAZIMA TUCHUKUE CLUB BINGWA AFRICABREAKING NEWS:
Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar...
Chanzo: Efm radio
Fafanua mkuuKwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.
Haya ndio yatakuwa maendeleo. Timu ikifanya kosa kama hilo la Kagera, vyombo husika visisubiri timu pinzani ikate rufaa, ipigwe faini nzito ikishindwa kulipa kwa wakati ishushwe daraja tu, maana hakuna namna nyingine.Safi sana ila TFF iandae utaratibu kama wa ulaya. Yaani kabla ya mechi kila timu inaeleza wachezaji wasiocheza na sababu za kutocheza ikiwemo waliopewa kadi za njano au nyekundu.
Kupata vichekesho kama hivi tuma neno "Wa matopeni na mchangani" kwenda namba 15500 bureWOYOOOOOOOOOOOO, SIMBA CHAMA LA WANA HATUNA MPINZANI LAZIMA TUCHUKUE CLUB BINGWA AFRICA
Good.BREAKING NEWS:
Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar...
Chanzo: Efm radio
Tuwe na kumbukumbu.Hata timu ya vijana ilipita kwa ushindi wa mezani na watanzania wakashangilia! Sasa naona hili la simba watu hawataki kukubali......jamani tukubali tu yaishe.
Jibu murua kabisa.Kwahiyo wasipofuata kanuni ndio litaendelea? Mtu akiwa na kadi 3 achezeshwe watu wakae kimya tu.
Bila taratibu..sheria...na kanuni.Na vipi kuhusu Serengeti boys...???Mpira uchezwe uwanjani sio mezani