Simba apewa point zake 3 dhidi ya Kagera sugar

Simba apewa point zake 3 dhidi ya Kagera sugar

Status
Not open for further replies.
Case za facts huwa hazina shida sana. Maamuzi yanapaswa kujulikana kama facts zinajulikana.
 
d982f6281f18a9dc4a3c90d7116f26a0.jpg
 
Issue ya Serengeti Boys haikuwa na utata wowote. Hakuna mgongano kati ya mwamuzi na msimamizi wa mchezo. Walishindwa wao kumpeleka mhusika kwenye kipimo.

Hili la Kagera/Simba lina utata mwingi sana. Yote hayo ni ujanjaujanja wa Simba. Lile la Yanga na African Lyon, mchezaji amesimamishwa lakini bado Yanga haijapewa point za mezani
ujanja upi? swali; je mchezaji wa kagera fc ana kadi hizo au la?? jibu kwa kutumia kichwa cha juu!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yanga mkufwe zenu ....
 
ujanja upi? swali; je mchezaji wa kagera fc ana kadi hizo au la?? jibu kwa kutumia kichwa cha juu!!
Ana kadi tatu na atapoteza point sio za simba tuu subir uone
 
Simba nadhani mnafurahia kama mmepata Klab bingwa Africa final match .... Subirini Libolo FC tena
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom