Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni shabiki wa simba lakini hizi club zinaharibu Mpira. Na sisi simba niwazembe I am not proud for that... Kagera waliofanya uhuni na simba iliyopewa point
Njia wanayotumia kujifariji ni hatari kwa afya zao...wakazane mazoezi ili Toto wasiwaahibisheWanaweza kuwa wanajifariji kiana. Mwaka huu, kama iliyopita, wasahau habari ya kuchukua ubingwa. Waendelee kulea vipaji ili timu kubwa ziwachukue.
BREAKING NEWS:
Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar...
Chanzo: Efm radio
Busara iliyotumika kwa Ajib ndio itumike..Yanga nenda mahakamani tufungiwe na Serengeti boys wafukuzwe AFCONYote sawa tusubiri matokeo.Nionavyo Simba akipewa hizo pt 3...Yanga watazuwa balaa na wakinyimwa hizo pt 3 Simba watazuwa balaa.
Hii ndio habari mbaya niliyoipata kuliko zote wiki hii... Real sisikilizi kipindi cha michezo tena mpaka baada ya pasaka iyo j4.BREAKING NEWS:
Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar...
Chanzo: Efm radio
Yote sawa tusubiri matokeo.Nionavyo Simba akipewa hizo pt 3...Yanga watazuwa balaa na wakinyimwa hizo pt 3 Simba watazuwa balaa.
Kwahiyo kwasababu ni simba hata haki yake isipate. Mlichotakiwa kufanya ni kuleta ushahidi kuwa huyo mchezaji hakua na kadi tatu za chano na wala sio kulia liaMimi ni shabiki wa simba lakini hizi club zinaharibu Mpira. Na sisi simba niwazembe I am not proud for that... Kagera waliofanya uhuni na simba iliyopewa point
Bongo hakuna TFF hao wababaishaji mbona timu hiyo ya simba ilichezesha pia mchezaji akiwa na kadi za chano 3 hakukutokea kituBREAKING NEWS:
Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar...
Chanzo: Efm radio
Bongo hakuna TFF hao wababaishaji mbona timu hiyo ya simba ilichezesha pia mchezaji akiwa na kadi za chano 3 hakukutokea kitu[/
Kagera waandamane
Mkuu huo ndio uzaji mechi wakisasaSawa point wamepewa ila wameshakikalia tu kijiti, haifutiki. Na hao Kagera inaonekana wanaihujumu timu, kwanini wamchezeshe mchezaji asiestahili. Mpira wa tanzania unakufa tatizo unakuta kiongozi wa timu za mikoani ni viongozi wa tawi la simba au yanga, hapo unategemea nini?
Chama kubwa limekuwa mama wa nyumbani kwa miaka 4 mfululizo sasa tunafanya maarifa kidogo vijana wapande ndegeInapendeza sana..
Simba chama kubwaa