Simba apewa point zake 3 dhidi ya Kagera sugar

Simba apewa point zake 3 dhidi ya Kagera sugar

Status
Not open for further replies.
Efm wameripoti hili so sioni mantiki ya kubisha hapa
 
Wanaweza kuwa wanajifariji kiana. Mwaka huu, kama iliyopita, wasahau habari ya kuchukua ubingwa. Waendelee kulea vipaji ili timu kubwa ziwachukue.
Njia wanayotumia kujifariji ni hatari kwa afya zao...wakazane mazoezi ili Toto wasiwaahibishe
 
Mpira unaendeshwa kwa kanuni na sheria.Ndiyo maana huwa tunahoji offside na magoli ya mkono ya Yanga. Kukua kwa mpira ni kufuata sheria na kanuni za mpira.Kama kweli kanuni zimefuatwa hongereni simba.
 
BREAKING NEWS:
Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar...

Chanzo: Efm radio

Kikao hicho kitakaa leo hii na kuamua kuhusiana na rufaa hiyo ya Simba inayolalamika mchezaji Mohamed Fakhi kuwa na kadi tatu za njano.

Katika mechi hiyo iliyopigwa mjini Bukoba, Simba ililala kwa mabao 2-1.

Lakini kuanzia muda mchache uliopita, taarifa zimekuwa zikisambaa mtandaoni kwamba tayari kikao kimekaa na Simba wamepewa pointi tatu.

"Kikao bado, itakuwa saa 9, hao wanaosema nafikiri wanazusha tu mambo," alisema mjumbe mmoja wa kamati hiyo.

"Watuache tufanye kazi yetu, wasilazimishe mambo na kutaka kuleta mkanganyiko."
 
Yote sawa tusubiri matokeo.Nionavyo Simba akipewa hizo pt 3...Yanga watazuwa balaa na wakinyimwa hizo pt 3 Simba watazuwa balaa.
Busara iliyotumika kwa Ajib ndio itumike..Yanga nenda mahakamani tufungiwe na Serengeti boys wafukuzwe AFCON
 
BREAKING NEWS:
Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar...

Chanzo: Efm radio
Hii ndio habari mbaya niliyoipata kuliko zote wiki hii... Real sisikilizi kipindi cha michezo tena mpaka baada ya pasaka iyo j4.
Wasituletee ukinga li.ligi gani hili mitimu inabebwa bebwa tu
 
Yote sawa tusubiri matokeo.Nionavyo Simba akipewa hizo pt 3...Yanga watazuwa balaa na wakinyimwa hizo pt 3 Simba watazuwa balaa.

Yanga hawana meno siku hizi, Jk na Ridhiwani hawapo madarakani, saivi ni Tz ya jpm na mwanae Bashite shabiki wa simba, atakalo ndo hilo huwa.

Poleni Yanga. Mkileta mdomo ndo mnamponza Manji zaidi
 
Mimi ni shabiki wa simba lakini hizi club zinaharibu Mpira. Na sisi simba niwazembe I am not proud for that... Kagera waliofanya uhuni na simba iliyopewa point
Kwahiyo kwasababu ni simba hata haki yake isipate. Mlichotakiwa kufanya ni kuleta ushahidi kuwa huyo mchezaji hakua na kadi tatu za chano na wala sio kulia lia
 
BREAKING NEWS:
Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar...

Chanzo: Efm radio
Bongo hakuna TFF hao wababaishaji mbona timu hiyo ya simba ilichezesha pia mchezaji akiwa na kadi za chano 3 hakukutokea kitu
 
Kwanza rufaa yenyewe iliwasilishwa nje ya muda lakini hiyo kamati ya wahuni wakaipokea na kuhaidi 'kuifanyia kazi'
 
Sawa point wamepewa ila wameshakikalia tu kijiti, haifutiki. Na hao Kagera inaonekana wanaihujumu timu, kwanini wamchezeshe mchezaji asiestahili. Mpira wa tanzania unakufa tatizo unakuta kiongozi wa timu za mikoani ni viongozi wa tawi la simba au yanga, hapo unategemea nini?
 
Mkuu huo ndio uzaji mechi wakisasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom