Charles Mtekateka
JF-Expert Member
- Feb 13, 2009
- 317
- 89
Safi.BREAKING NEWS:
Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar...
Chanzo: Efm radio
Kwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.BREAKING NEWS:
Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar...
Chanzo: Efm radio
Kwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.
Maoni yako yanaheshimika.Pia kanuni na taratibu za mashindano zinaheshimikaKwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.
BREAKING NEWS:
Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar...
Chanzo: Efm radio
Maoni yako yanaheshimika.Pia kanuni na taratibu za mashindano zinaheshimika
mchezaji wa kagera alikuwa na kadi 3 za njano kwenye ligi.
Yote sawa tusubiri matokeo.Nionavyo Simba akipewa hizo pt 3...Yanga watazuwa balaa na wakinyimwa hizo pt 3 Simba watazuwa balaa.Mtoa post acha ubashite wewe hicho kikao uchwara kinakaa saa tisa n mjumbe mmoja amejitoa