Una utani na waziri mkuu.Viroba Mkuu
Kuna watu wakaidi mkuuUna utani na waziri mkuu.
Acha uzandiki mpira una sheria na kama ungeendeshwa kipuuzi Serengeti Boys wasingeenda GabonKwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.
Kwanini chanzo kisiwe afisa Habari wa @tff?BREAKING NEWS:
Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar...
Chanzo: Efm radio
Sir name yako imekuwa na umaarufu sana kipindi hikiBREAKING NECKS AND NAILS
Nawewe kachezeshe mchezaji mwenye kadi 3 za njano kwenye michuano ya CAF uone mpira ulivyoendeleaKwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.
Kwa sab hujapenda?Kwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.
ujanja upi? swali; je mchezaji wa kagera fc ana kadi hizo au la?? jibu kwa kutumia kichwa cha juu!!Issue ya Serengeti Boys haikuwa na utata wowote. Hakuna mgongano kati ya mwamuzi na msimamizi wa mchezo. Walishindwa wao kumpeleka mhusika kwenye kipimo.
Hili la Kagera/Simba lina utata mwingi sana. Yote hayo ni ujanjaujanja wa Simba. Lile la Yanga na African Lyon, mchezaji amesimamishwa lakini bado Yanga haijapewa point za mezani
Ana kadi tatu na atapoteza point sio za simba tuu subir uoneujanja upi? swali; je mchezaji wa kagera fc ana kadi hizo au la?? jibu kwa kutumia kichwa cha juu!!