Simba atafungwa na Raja zaidi ya goli 6 huko Morocco

Simba tukiaibika ni nchi nzima imeabika...nyie mnaosema tupigwe goli 7 mara 8 mara 18 hivi hao wachezaji itakua watakua wamepigwa kipapai cha kimogadishu...
 
Hivi haiwezekani simba kwenda na ndege ✈️ kinyume nyume mpaka Morocco ili kuzuia kufungwa magoli mengi na hao Raja Casablanca! Marubani wa ndege, mtusaidie tafadhali!

Hivi Taifa linaenda kuaibishwa hivi hivi eti!
 
Simba haiwezi kwepa kipigo huko Morocco. Tuwaombee wasifungwe zaidi ya 5 - 0. Mseme Amen
 
Ndio, ni hesabu za CROSS MULTIPLICATION.
Mwaka 1998 Yanga alidraw na Raja hapa Dar es salaam, Morocco akapoteza kwa goli 6.
Sasa huyu aliyefungwa 6 Taifa, Morocco atapigwa ngapi?
Ingekuwa ni hesabu za cross multiplication, Simba angekuwa anaendelea kuifunga Yanga 5-0 au 4-1 kila mara
 
Cross multiplication haifanyi kazi kwenye soka Kila wakati. Inaweza kufanya kazi mara moja Kila baada ya mechi Mia moja. Kwa hiyo mfano wako hauna uhalisia.
 
Ingekuwa ni hesabu za cross multiplication, Simba angekuwa anaendelea kuifunga Yanga 5-0 au 4-1 kila mara
Kwanza baada ya kuona Simba imepigwa 3 bila nyumbani,walianza kwa kusema haitatoka na point hata moja,sasa hv aibu wanaona wao wanatengeneza kauli zingine za wivu wa kike yaani hawatofwutiana na machangudoa kugongwa na kila mtu
 
Ndio, ni hesabu za CROSS MULTIPLICATION.

Mwaka 1998 Yanga alidraw na Raja hapa Dar es salaam, Morocco akapoteza kwa goli 6.

Sasa huyu aliyefungwa 6 Taifa, Morocco atapigwa ngapi?
Kwani nani alisema hawatafungwa hizo Goli 6?
Na itatokea nini wakisha fungwa?
 
Ndio, ni hesabu za CROSS MULTIPLICATION.

Mwaka 1998 Yanga alidraw na Raja hapa Dar es salaam, Morocco akapoteza kwa goli 6.

Sasa huyu aliyefungwa 6 Taifa, Morocco atapigwa ngapi?
Kafungwa A Ahaly goli 5 iwe simba ajabu itoke wapi
 
Ndio, ni hesabu za CROSS MULTIPLICATION.

Mwaka 1998 Yanga alidraw na Raja hapa Dar es salaam, Morocco akapoteza kwa goli 6.

Sasa huyu aliyefungwa 6 Taifa, Morocco atapigwa ngapi?
Nani huyo alifungwa 6 Taifa?

Mkiwa mmelewa chimpumu msikimbilie huku.
 
Kwani ukifunga magoli mengi pointi zinaongezeka!
Ndio, ni hesabu za CROSS MULTIPLICATION.

Mwaka 1998 Yanga alidraw na Raja hapa Dar es salaam, Morocco akapoteza kwa goli 6.

Sasa huyu aliyefungwa 6 Taifa, Morocco atapigwa ngapi?
 
Ndio, ni hesabu za CROSS MULTIPLICATION.

Mwaka 1998 Yanga alidraw na Raja hapa Dar es salaam, Morocco akapoteza kwa goli 6.

Sasa huyu aliyefungwa 3 Taifa, Morocco atapigwa ngapi?
Mdau leo vp kuelekea kesho Simba na Horoya hujasema kitu hebu toa neno na la jpili
 
Back
Top Bottom