Simba atafungwa zaidi ya magoli mawiili mashabiki tujiandae kisaikolojia

Know the difference between premier league and trophy or competition in premier league you need performance to win the title but in competition and trophy you need experience to win the game because it's all about tactics.

Ndio maana mwaka jana kuna team zimeingia na kucheza fainali lakini zimeshuka daraja mfano marumo gallant na US alger licha ya kufika hatua nzuri sana kwenye Caf confederation cup lakini hawakuwa na performance nzuri kwenye league the same to real Madrid in Europe hata wawe nafasi ya 8 kwenye premier league yao ila usiombe kukutana nao UEFA champions league because in competition and trophy its results oriented and in premier league it's performance oriented no matter what kind of football you play stay tuned.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…